@khusner3: Jinsi ya kutengeneza 🍦Ice cream za chocolate 🍫 na maziwa 🥛kwa kutumia unga wa muhongo 😋🔥🔥

🫧HAN🫧DE___🍃
🫧HAN🫧DE___🍃
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 12:38:32 GMT
90454
3020
185
350

Music

Download

Comments

umeyr_alaiya
Umeyr_Alaiya :
mbn sijaona ukiweka sukar
2026-08-15 16:17:13
9
mom.dylan..tz
Mom🦋 dylan..tz🫂❤️🥰 :
samahan mdg wangu shingp iyo
2026-11-09 23:24:04
0
haisobaby_10
-𝐇𝐀𝐈𝐒𝐎𝐁𝐀𝐁𝐘_𝟏𝟎🧸🛍️ :
Izo Tukiziuza tsh100 Mia Tunatoboa ujue😂
2026-08-15 13:49:14
10
ashura.kiwamba
EZZAH MITI :
natakutengeza za maziwatu kipenzi nipeujuzi🙏
2026-08-17 08:20:46
5
byser.69
Byser 69😈☠️🔮 :
No nothing enh😂
2026-08-15 21:54:29
5
itsannie668
🌸It's ANNIE 💞 :
me uwo unga wa maziwa uwana nalamba jamniii adiii aukoleagu vizur
2026-10-12 08:28:14
0
m.a.r.r.i.a.n.e
M.A.R.R.I.A.N.E❤️‍🔥 :
Sukari hujaweka babe?
2026-08-16 15:18:51
0
jaber_supreme
🤍_pretty_👻 :
mbona sukar hamnaa
2026-08-17 13:07:47
0
user8547460008861
Oumou Cissé fall :
sasa iyo unga wamiyogo niiyi unga wakusongeya ugali ?
2026-09-11 18:09:41
1
jacqueen867
jacqueen :
Vp no sukari jamani
2026-08-20 10:00:11
0
hawa.mussa.mikida
ruhyinaa ♥️♥️♥️🩷 :
nauliza hiweki sukar ?
2026-08-16 16:34:44
0
tinner3279
Tina :
bby kama na maziwa ya maji?
2026-08-16 05:46:10
0
love_gsp
𝑁𝑢𝑛𝑛𝑦💥 :
naweza tumia unga wa ubuyu instead of unga wa muogo ?
2026-08-16 04:49:58
0
user4ctqqpjuc1
user67637509934 :
jaman na mm nataka kutengeneza kama hizo ila ziwe za maziwa.
2026-08-19 11:57:00
0
user3883536077767
grape ♥️♥️ :
unga wa muhogo unapata kwenye maduka ya vifaa vya keki?
2026-08-20 16:33:38
0
chotarawakigogo
Chotara wa kigogo812 :
Hazichelewi kuganda my dear
2026-09-02 13:21:39
0
kizaa.shabani
Kizaa Shabani :
sijapna sukari
2026-08-24 14:17:09
0
user6238828802117
rey tarimo :
🥵wowo
2026-08-18 09:02:13
0
ant.ruu
ant ruu :
mpenz vipi kuhusu sukar
2026-08-16 15:47:14
1
juvem81
juvem :
apo sukali aiitjk
2026-08-22 15:54:01
0
mwanaidi.mwinami
Mwanaidi Mwinami :
hauweki sukari🥰
2026-08-19 12:53:37
0
shine.smart.boy
shine smart boy :
shida apo ice cream zitakuwa zinanukia unga wa muogo Tu 😂😂😂
2026-08-15 15:42:44
2
bintihassani_tastytreats
BintiHassani_TastyTreats :
fridge langu nalo has no nothing😅 ,em kesho nijitengenezee mie
2026-08-19 22:20:19
0
s.sur63
madam Amina :
mashallah
2026-08-23 05:15:46
0
hab19882
hab :
unga wa mhogo unaitwaje kw English ama ndio cornstarch
2026-08-25 12:24:06
0
To see more videos from user @khusner3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About