unauliza wakati unajua[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-16 09:41:09
7
Alisia Simon :
niivo jamni vilinikabaga sku moja nilijamba namachozi juu🤣🤣🤣
2026-09-16 14:21:31
22
Crazy_Efootball001 :
Nakumbuka nilienda na bro ukwenii basi tulifika mapema tu wakatuandalia chai weew tusikute hao wajombaa 😂😂 bro vilimshinda bana maana ilifika mda akahisi kama anatoka roho
2026-09-16 18:06:27
19
Precious 💕 mumy :
Aweeee viazi Moma
2026-09-16 10:29:12
1
saido wmb :
bora at vibaka watakwamby toa ulichonacho ila hivy haviulizi moja kwa moja vinatoa roho kabx ukiruka hd machozi lazm yakutoke
2026-09-17 05:24:00
5
Alvin :
Hawa ni noma hawana muda wakubishana hata kidogo
2026-08-19 16:39:12
64
Alpha Boniface :
iseee ukiingia TikTok bila kucheka unashida ww
2026-09-15 11:01:38
11
jalafa 🇹🇿 tz,🤠 :
acheni kunikumbusha machungu ya sim yang[Red heart][Red heart]