Jamni kiukweli wa serikalini hawasemi kiukweli me Naumia yaan wakimaliza tuu hawakupi nafasi ya kuuliza wanakwambia majibu utayakuta kwa doctor ukienda unaambiwa jujujuu tuu🥺🥺
2026-08-16 05:03:08
20
Official_.naya🥰✨ :
mimba ikiwa na mda gani ndio unajua jinsia ya mtoto??
2026-08-16 17:47:12
4
Am Me💕 :
me nina mimba ya miez minne lakin mtoto hajaanza kucheza🥺
2026-08-16 10:15:52
3
LE Mr’s❤️ :
Hawa wataalamu uchwara jmn sina hamu nao🥹Sijui hawajui au hawalipwi vizuri yani ukiwauliza hayo yote walah hawakujibuu
2026-08-16 12:00:57
3
Charming girl😍 :
mi niliambiwa vyote hvyo 🥰🥰🥰
2026-08-22 18:33:41
0
Maryham Abdillah :
yan ndio mm had nilijion mjing🤣🤣🤣sijui hat tareh y mwish ya kuingia period n aibu wallah🤣🤣🤣
2026-08-16 05:15:53
5
double J👞👡💘 :
nimekupenda bureee
2026-08-23 16:25:00
1
Julieth💝🌹💓 :
mapigo ya moyo ya mtt yanaanza kusikikia kweny miez mingap ya mimba
2026-08-16 04:38:57
1
Ruu🦋 :
Mtoto akiwa mkubwa unafanyaje kupunguza? Ili uweze kujifungua kawaida
2026-08-16 06:04:59
1
thecla🍫 :
jaman tikitok kwan veep leo 😂
2026-08-19 20:32:37
0
Mrs dulla❤️🦋 :
Asante San❤️
2026-08-16 21:24:30
1
flora@koku♡ :
Naje mimba ya mapacha inaanza kuonekana ikiwa namiezi mingapi kwenye kipimo cha ultlasound?
2026-08-16 10:55:47
1
Glory Raymond :
Mimi sikuuliza chochote..
2026-08-16 13:17:43
0
ummy p🥰🥰 :
me juzi tyuu nimefanya
2026-08-20 13:35:04
0
Ndito Omega :
Turuhusu kushare tuwatumie wapendwa wetu.
2026-08-18 15:01:08
0
modern_girl :
Asante sana kipenzi
2026-08-17 06:39:24
0
anianurudini :
asante nimekuelew nitalifanyia kaz
2026-08-17 12:04:42
0
lastborn🥰🥰🥰 :
ili kupata majibu sahihi natakiwa nifanye mimba ikiwa na miezi mingapi plz
2026-09-01 07:03:50
0
Nzivake Grace :
Dr mujamuzito wa wiki38 na 33cm ni kawaida?
2026-08-15 22:34:55
0
fay😻 :
Asante ❤️❤️
2026-08-16 04:22:41
0
💦WEMA❤️🧸 :
asante doctor nimekuelewa vizur nitalifanyia kz.
2026-08-17 06:45:25
0
blessedoutfitsstore :
Kwan kujua muda wa mimba ina wk ngap ni kuhesabu siku ya mwsho ya p au tar ya kwanza ?
2026-08-16 15:27:52
1
🌹🌹Aiem Neyma🦋🦋 :
asante
2026-08-15 20:19:30
4
Amina hamza :
ooh Ahsantee kipenzi
2026-08-15 21:11:37
2
happy :
asante
2026-08-16 05:09:18
0
To see more videos from user @doctor_glory, please go to the Tikwm
homepage.