kiongozi aliye kwenye mamlaka lazima aheshimiwe hata kama si muislamu,mnatafta kiki
2026-08-16 14:10:55
9
Omar Ali :
MUOGOPENI ALLAH.HAKUNA ALIERITADI.
2026-08-16 00:52:52
6
Laafa Gumia :
wacheni fitna na uwongo kwa kusingizia dini kwa kua hamja pata fursa ya kualikwa laiti mnge alikwa pia mnge kua wa kwanza kuhudhuria. Sheria inao tumika ni katiba ya nchi si ya dini fulani sababu kenya ni nchi ya dini na waumini tofauti, mbona mzinifu & mwizi muislamu hahukimiwa kutumia sheria ya dini na mume nyamazia kama kweli mna ongea ukweli si fitna? Punguzeni fitna hamjui maana ku ritadi
2026-08-16 10:39:02
2
Abuuaisha :
UONGO MTUPU 😁😁😁
2026-08-16 13:39:53
2
🅗🅐🅢🅢🅐🅝 :
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh ndugu zetu Allah awalipe kheri kwa kazi kubwa munayoifanya kiukweli nyiny mwaongea ukweli ila kuna wajinga wasiokua hawajui dini hawajui tauhid yao ila mtu kakaa kipaumbele kusema nyiny ni waongo mimi naona kama mtu anaona nyiny ni waongo waje na hoja na dalili kama nyiny mulivokuja na dalili nd yale yale yaliomkuta sheikh wetu rogo Allah amrehemu
2026-08-16 15:20:03
1
SEif ABdallah :
tatizo bahasha ya hela
2026-08-15 16:49:41
5
Musa Omar :
jamani someni Quran vizuri tumeambiwa tumtwii Allah na mtume wake wal amri minnkum haikutaja kafiri wala muislamu
2026-08-17 16:27:53
1
Dr. Ibrahim Wainaina. :
Kwenye hio list, Maimamu na Masheikh walikua wachache sana, wengi ni wale waliambiwa tu wavae makanzu waende wakapate bahasha. Mm simuungi huyo Ruto ila hilo la kusema eti mtu akienda huko ni kuritadi sio kweli, ni Fat'wa batili.
2026-08-17 07:29:28
2
Dumerno :
sahihi kabisa ndugu.. Allah asema ..laa tattakhidhu aduwwi Wa aduwwakum auliyaaa
2026-08-17 04:06:38
0
salim majinika :
mko sahihi Braza
2026-08-15 18:27:00
6
Muu hassan :
شروط التكفير ثلاثة وهي خاصة للعلماء وهي العلم ,الختيار , التاويل وكذالك الكفر بحكم بغير ما انزل الله يكون بتجويز حكم الطاغوت وتسويتها بحكم الله
2026-08-17 04:49:40
0
Muhammad fundi simu :
mbona mnakufurisha watu?
2026-08-18 09:03:51
2
Mus'ab ibn Umeir[RA] :
subhaanallah
2026-08-15 16:02:58
2
Mumbere Abdulahi :
Kwaninyimunaishiwapi
2026-08-16 19:31:30
1
Rashid Musa :
kasomeni
2026-08-16 17:21:37
1
muhammadmusa :
wacheni wivu.
2026-08-16 08:08:30
1
sir Ahmed :
Allah
2026-08-15 16:55:01
1
Mwinyi Ali :
hio iko wazi hata hutba za swala ya ijumaa uwa nj porojo pwani yote .
2026-08-17 07:34:04
1
Aminasudi :
🤣Uongo mtupu ........lies!!!!
2026-08-16 06:17:20
1
kuta za juu :
hii ni comedy au?? 😁😁😁
2026-08-16 06:02:11
1
Africa Twin :
aaaaaaa wapi
2026-09-06 14:26:24
0
abdullwahid5054 :
Allah akbar
2026-08-21 05:27:32
0
user4697929057168 :
☝️☝️☝️Allah akbar
2026-08-25 12:01:54
0
أبو العباس :
fikrah za rogo ndio imeanza Tena baada ya kuisha
2026-08-19 23:51:16
0
Abu hàfidhah :
allahu AKBAR
2026-08-15 20:18:18
0
To see more videos from user @abuhaliimah2, please go to the Tikwm
homepage.