ooh Amen . This is me right now. wow umenijenga kidogo mamaa
2026-08-19 05:43:48
2
FAIa. tinaxa :
mama asante nimeguzwa.saana juzi nimetusiwa namashemeji wangu lakini nitasimama kidete
2026-08-17 06:56:00
3
༄✿𝗦𝗚𝗠𝗙𝗮𝘃𝗼𝘂𝗿𝗲𝗱✿༆🧿✝️ :
𝙐𝙬𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞 𝙟𝙤𝙢𝙤𝙣𝙞𝙞𝙞𝙞
𝙢𝙞𝙢𝙞 𝙮𝙤𝙤𝙤𝙤𝙝!
2026-08-15 20:06:13
5
Eunice Shisia :
Aky kwli mm hapo yenye napitie mungu nisaidie tw roho imekuwa ngumu ssna😭😭😭😭
2026-08-20 15:45:15
1
Mpumalanga :
Yap spritual awekining☺️
2026-08-17 03:19:05
1
arlndaroseolindo :
umesema ukweli mtumishi
2026-08-17 06:19:21
3
mom cute💝 :
mungu amenipika kwelikweli
2026-08-16 16:22:40
1
Grande des grandes dames :
🙏🙏🙏
2026-08-16 05:45:55
2
user5791871444403 :
mungu nisaidie nivuka kwenye haya majalibu nipe nguvu na ujasili amina kwamana ulise tusiogope utatusaidia ameni
2026-08-16 06:18:12
8
Milkah Misoka :
mi sai hapa niombee please 🙏🥺
2026-08-21 12:49:08
1
JUNIMO :
mungu tusaidie sio rahisi
2026-08-18 12:08:24
1
magaja :
amen amen
2026-08-16 05:54:23
1
francidor --Kenya :
haki weeeee hii si rahisi neema tu kutoka kwa Mungu
2026-08-18 21:24:12
1
Benjamin Muisyo :
amen
2026-08-16 03:50:14
1
la prunelle de l'Éternel :
amen
2026-08-16 05:09:18
1
diameter :
Amen
2026-08-16 06:18:36
1
Jeyde Peter :
Amen God Bless you 🙏🙏 Mum
2026-08-17 01:04:41
1
nkeshiman a Kareem, binho :
nikwel kabs uyasemayo Allah atajaalia wepes insha Allah
2026-08-17 09:51:08
1
Evelyn Milanzi :
Sana tunaitaji msaada wa Mungu.. PainfulReality..AMEN AND AMEN 🙏
2026-08-16 09:49:01
1
Reina ayekha :
ndio mm sasa nakipitia sana
2026-08-16 17:16:24
1
user8821940256169 :
kweli kabisa
2026-08-16 04:43:46
1
judith :
ameen
2026-08-15 20:23:49
1
malibora_intertrade_tanzania :
uwakika sana. na pia hata wakati mwingine unajikuta unakutana nacho umeshaingia kwenye ndoa au kazi au jambo lolote umeshaliingia na ndipo unapimwa vizuri
2026-08-16 03:05:34
1
To see more videos from user @mariamsillogodfrey10, please go to the Tikwm
homepage.