@tullymwampamba: Asante mungu Kwa neema Yako ..🙏🙏🙏 haikuwa rahisi .. hatimaye umetenda 🙏🙏🙏

Mwampamba 🌿🙏❤️
Mwampamba 🌿🙏❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 14:30:45 GMT
20838
1255
49
45

Music

Download

Comments

iamgh12
Gh 🇹🇿 :
Bora kuroll kuliko ku crawl
2026-08-27 06:38:31
1
lolamonie
lolamonie :
Zoezi langu pendwa kati ya yote 🥰
2026-08-25 04:51:19
3
the_realpablo
the_realpablo🦁 :
ndio maan halisi ya kua muhifadhii, now chuo kimefanya kitu kzuri sana kutoa mafunzo ya jeshi chuoni
2026-08-16 16:35:59
3
user100747121057
0747121057 :
wamekuwa walembo
2026-08-31 11:28:05
0
juma.amos.samwel
juma Amos samwel :
ndy kaz👍👍
2026-08-27 09:45:16
0
user9216330003414
Magagala :
hii afazal ...Kuna Ile inaitwa mwendo wa kukwepa ndege weee noma sanaaa
2026-08-31 10:50:24
1
tinaamos87
Tina Amos :
😭😭😭mume wangu nakuombea kila iitwapo leo
2026-08-27 12:08:19
1
abdul.jamngo81
Abdul jamngo :
wakujitolea hao
2026-08-28 10:55:58
0
feridasiwingwa
chrisantunsi girl💝💝🙏 :
kwa kweri asie pitia hayo hawezi elewa
2026-08-20 08:37:41
1
sophiamaganga685
soph 💝💝 :
hakika sio rahisi hata sasa MUNGU amewasaidia jmoon duu
2026-08-15 22:43:12
2
mbulunga683
Mbulunga :
eheeeee
2026-08-26 15:38:05
0
gloria.kiama
Gloria kiama :
haaaaaa 😃 imepigwaa nua, Mkono weka kwe Amala , tunapima wepesi 😃 ila Maisha hayo yanafunza vingi
2026-08-27 17:19:38
0
user4010337562618
JESUS GIRL :
kwakweli shukuru tu maan haikuwa rahisi binti yangu
2026-08-15 16:56:04
1
dais.desantos
Dais desantos :
Kizunguzungu mpaka nikatapikaga nikazima nikazinduka zoez likaendelea
2026-08-28 07:13:33
0
lucassteaven
Lucas Steaven :
Wamealibu kaz
2026-08-25 09:56:41
0
realcop_official
doɔlɐǝᴚ🇹🇿✊ :
appreciate it niffolow nmekuffolow kwa heshima ka mkubwa
2026-08-19 02:10:15
1
user834458821812
OSE :
dah utawaua bab wape utawala
2026-08-25 12:36:49
0
geoffreykyabwe
MWALIMU MAUTAMU💪💪💪💪❤️❤️❤️ :
kazizuli🪴🪴🪴🪴🪴🥸
2026-08-28 09:47:32
0
user6134097114460
Dogo w@bii :
so pw omba yasikukute uone tu 😂
2026-08-27 13:42:20
0
livinus339
LIVINUS :
sasa kuroli naro ni zoezi si mazoezi tu
2026-08-28 02:45:29
0
samwel.mahajile
Samwel Mahajile :
acha kulia ndo ukubwa
2026-08-26 13:35:35
0
nathan.chris0
Nathan Chris :
ili inoge fimbo zilitakiwa zitembee apo🔥
2026-08-30 12:01:01
1
abduly.kidary
Abduly kidary :
rolly wewee si umetaka kazi ya JESHI
2026-08-25 18:19:48
0
hijarakhamisihija
tihasa :
ngoga maji bado bado
2026-08-17 04:43:45
0
To see more videos from user @tullymwampamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About