focus on yourself alafu kutuma azn u keep yourself busy imgn inawork vizuri imgn siamin ni mm nakaa 3yrs single though nimejaribu bt hailast so nikaamua kukaa single its now 1yr without a man na si wanikatii wananikatia bt interest sina naona ataniwastia tym bure
2026-08-18 08:42:32
0
nahya :
my fav song 🥰🥰
2026-08-18 10:03:59
0
Kyll Laura 🍒 :
My ringtone 🥲
2026-08-17 06:34:52
4
Angel :
nikipata bahati ya kukaa single nitashukulu sana mungu
2026-08-17 11:42:31
14
kube001 :
mpaka leo sijajuaga alie piga hili beat
2026-08-16 12:50:35
11
Sharon1960Chebet :
this song got a strong message,,,""hitaji la moyo la lazimisha kurudia ya zamani""