@sultansbooks: Maeneo kama ya magereza ni sehemu ambazo tayari mwenendo ya mamlaka inakuwa changamoto kubwa, kuwepo na mafundisho kama ya kitabu hiki cha 48 laws of power kinaweza leta tu changamoto zaidi. Kitabu hiki kinapatikana dukani 📍Ubungo mataa Tsh 45,000/= Order via WhatsApp 0628864658 Tunafanya delivery Dar es salaam na nje ya Dar es Salaam.