😅😂😂Ila wanyakyusa walinichekesha kwenye Msiba wa Mama Yangu , Walahi Siji Sahau 🙌🏿🙌🏿😭😅Nilicheka kwa nguvu na msiba ni wa mama Yangu mzazi
2026-08-16 19:25:09
34
jojo_drama :
Ila mamaima amaa umewapatia mama zetu wanyakyusa 😂😂😂😂
2026-08-16 05:39:49
62
user7533636541181 :
mama ima n shidaaa😂😂😂😂
2026-08-15 20:57:52
35
neemakalinga78 :
mama angu mdogo alifiwa na mume wake, alikuwa analia weee harafu anauliza wee Neema mmekuja na vitunguu vya kupikia maake uyole wanauza bei ndogo harafu anasema ejooo mume wangu kweli umekufa mweeh 😁😁😁
2026-08-17 13:30:17
39
cosmas linus :
huwa najikuta nimecheka kwa sauti
2026-08-15 20:50:35
29
Sophy :
Mama ima napenda kujua kabila lake la ukweli maana 🤣🤣🤣
2026-08-16 12:57:47
26
davidkajabuka2 :
tanzania nzima mbeya wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuombeleza mwezi mzima wanalia wanaimba wanalia uku wanapiga story
2026-08-19 13:26:22
7
Jackson J. Marko :
Scene ya mama Emma na mwanae inafurahishaga sana
2026-08-18 09:46:16
8
peacedamian :
Ila mama Ima si bora angekubali tu Ima akae na hizo hela😂😂😂😂
2026-08-17 07:13:32
7
Mimmah 🦋Ommy🦋9555🦋❤🎱 :
Nachekagaa mimiii Ila wanyakiii🙌
2026-08-16 05:18:31
12
Limau :
mama Ima kwakweli usanii unaujua🤣🤣🤣
2026-08-18 16:40:05
5
potentially :
Aisee huyuuu anatukumbusha mbaliii inaumizaaa lkn ndio Huwa inakuwaga hivyoo 🤣😂🤣🤣
2026-08-16 07:47:42
13
gwantwa :
masanja kuacha comedy niuongo inakupendeza sana
2026-08-17 09:14:20
10
CAROL TAILORING AND DISGNER :
😂😂presha imepanda jamani😂😂
2026-08-16 14:41:56
5
Tickey_Ezekiel :
😆😆😆anajua kwakwer
2026-08-16 06:37:16
6
user gladnes sauda org :
kkkk
2026-08-15 19:46:44
5
PAMBAIKA FASHION :
apo kwenye akakae nazo baba😂
2026-08-16 12:25:22
5
NURU HINNA :
Nimekumbuka mbali hahahahahahahha
2026-08-15 21:13:53
6
Mama Jloo spices kahama :
Nimesoma comenti zote nipeni tuzooo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-06 18:01:27
3
user60265712871342 :
nimecheka 😅😅
2026-09-06 20:42:58
1
Lazaro Natanael Mleli :
muachen ma ima anaumia sana😳
2026-08-18 13:26:56
4
keku_cosmetics :
Mamangu mdgo alikua akilia hvo msiba wa mamake lakin ela sasa akisikia inaombwa ananyamaza anaongea anaendelea
2026-08-17 08:12:21
5
To see more videos from user @dvs_mgaya2024, please go to the Tikwm
homepage.