if you have been through hell alafu upatane na hii 😭😭😭
2026-08-16 04:31:28
8
hawah :
sawa,lakini unaushi kwa mateso hadi unakosa ufahamu bwana acha ndoa zikae thawabu tutazipata tu Mwenyezi Mungu siyo mjomba wa wanaume bro,na ushahidi anyone tushachoka
2026-08-16 10:19:37
5
Tacho_meter :
MashaAllah ni hekma kubwa Shk Izzudin anatunza.Je tungalijua leo mambo mengi ya jamii yetu yananyoroka na kuimarika sana.Kama unafahamu basi unajua.Mungu atujalie na atufahanishe sote.Amin.JazakAllahu khyr bro.
2026-08-15 16:45:23
9
yumaa swafia :
ndoa mwanaume asie jua majukum yake nayo ni mtihan
2026-08-16 18:20:01
2
Doctorlove♥️♥️ :
very true hundred percent hakika kweli
2026-08-16 10:35:57
1
Rahima Mohamed :
mungu atujalie yarabi
2026-08-17 14:30:38
1
@Nasha001 :
Twajua lakini awa waume wetu wa sasa awajui hayo
2026-08-17 18:56:47
0
halimanyamburaali :
Haadha neematul islam
2026-08-16 16:54:32
1
NuruAli517 :
mashaaAllah
2026-08-15 18:20:59
4
Guardiola :
izudin nakubali maneno yako na kufanya ile starehe ni ujra sio rahatu
2026-08-15 22:46:24
0
Shamim Noor :
inalingana na maisha ya ndoa yenyewe
2026-08-16 09:41:22
2
Aunty queen :
Allahu maswali wasalim Aleyhi
2026-08-15 20:08:42
2
💥Zahrau Collection# :
🌹🌹🌹
2026-08-17 16:48:28
0
KHAMIS ABUAKBAR :
Mashallah
2026-08-15 19:32:33
4
RIFA HANDBAG 👜 :
mungu atujalie ndoa za kheri
2026-08-16 12:24:16
1
umair :
mashaallah 🥰🥰🥰🥰💯💯❤️❤️❤️
2026-08-15 16:34:42
2
Yusuf Assidiq(Abuu Musa) :
Kitu chochote alichofanya Mtume Wetu kwetu ni khery zaidi... Alhamdulila Kwa neema hii ya ndoa na Kwa waliojaliwa na wenywe awakujaliwa Allah awaeke mkono In Shaa Allah 🥰🥰🥰
2026-08-19 05:37:17
0
DIDA S L O :
Twayib
2026-08-16 19:17:37
0
bifety :
Alhamdulillah!
2026-08-18 07:01:14
0
STAR WARS 🇹🇿 :
🥰
2026-08-18 20:09:02
0
user1358199310805 :
masha Allah
2026-08-18 11:25:06
0
salimkaingu990 :
👏👏👏
2026-08-17 13:42:29
0
MISSZANZIBAR😍 :
Usinambie
2026-08-16 00:26:15
0
To see more videos from user @izzudin_dawaah, please go to the Tikwm
homepage.