But this teaches us not every battle we should fight, escape other battle and be safe on your way
2026-08-16 08:53:32
0
denniswachira148 :
we will fight with our enemies untill last min
2026-08-16 19:36:48
0
user51717281297358 :
next prt
2026-08-16 19:56:08
0
ERASTUS MAINDI :
it's nice video... thanks
2026-08-16 20:03:02
0
Official Mor TZ 0713720781 :
Timu nyegere gather here 😁😁
2026-08-16 01:06:35
51
Geofrey steven :
black mamb kavizia
2026-08-16 18:15:57
0
Peter chriss11 :
Hiyo GG both teams to score
2026-08-16 20:57:51
1
Sallumu Kwilimba :
nyegere kafa kishujaa
2026-08-15 19:31:09
8
wzry classic :
huyo nyegere sumu inamlewesha tuu na baadae ataamka na kuishi lkn hajafa apoo sema vdeo ni fupi
2026-08-16 00:15:55
24
ndosiino13 :
sumu ya nyoka kwa nyegere ni kilevi tu badaae anaamka
2026-08-16 08:14:40
11
che mropee :
kafa kishujaaa big up sana mr nyegele
2026-08-17 08:20:37
2
Joseph Alphonce :
Kanyegere ndo kamnyama ambako kanaweza gombana na tembo na tembo akasema inatosha
2026-08-16 11:57:34
9
Philipo Mkome :
kam uko team nyegere gonga like
2026-08-16 16:18:40
5
The Don Complex :
Huyu mwamba hajawahi potezaga pambanoo!! Ni either ukimbie au mfe wotee😅😅.
2026-08-17 05:29:10
5
Doctor phone Kyela :
Ndiyo, nyegere (honey badger) anaweza kufa kutokana na sumu ya nyoka, lakini ana ustahimilivu mkubwa sana dhidi ya sumu za nyoka.
Mara nyingi akiumwa na nyoka mwenye sumu kali:
Anaweza kupoteza fahamu kwa muda kutokana na sumu.
Baada ya muda anaweza kuamka na kuendelea na maisha.
Ngozi yake nene na tabia yake ya kujilinda humsaidia sana.
Hata hivyo, si kwamba hawezi kufa—kiasi kikubwa cha sumu au kuumwa sehemu muhimu kunaweza kumuua.
Kwa hiyo, kusema “nyegere hawezi kuuawa na sumu ya nyoka” si sahihi; ana kinga/ustahimilivu mkubwa, lakini si kinga kamili.
2026-08-16 22:06:56
3
KiNg 👑 HaNcE ✌️💪 :
ni black mamba au cobra?
2026-08-16 05:05:57
1
Abuu Mussa :
nyegere arikufa
2026-08-15 17:34:31
1
Kwalu99 :
HUYU SIO MNYONGE HIVYO HAPO LAZIMA AAMKE TENA💪🏼
2026-08-16 19:37:48
2
chitu j :
kwani black mamba ndo cobla?
2026-08-16 21:04:30
0
erick shayo :
kwahiyo black mamba ame die
2026-08-16 14:31:14
0
poutineo9vladimir :
nampenda sana nyegere ❤️❤️
2026-08-15 22:40:56
2
ahmatar2023 :
Black mamber ni hatari wanyama wengi km simba na tembo ashawaangusha ndani ya robo saa2 wamekufa
2026-08-15 19:23:34
3
ahmatar2023 :
sema uyo nyegere ajafa vo video aijaishia apo uyo ni km battery anaisha chargi than anaamka upya
2026-08-15 19:29:47
5
MP FASION :
Ashtakiwe aliyeshuti bila KUCHUKUA hatua za usalama wao
2026-08-16 06:27:06
1
sam lokua the producer :
shujaa Ali hakikisha amemaliza adui atakama sumu ya audui ilimmaliza
2026-08-15 22:30:28
2
To see more videos from user @njikudaily, please go to the Tikwm
homepage.