@iddy1651: msiwe mnachukua Shelia mkononi

iddy ,
iddy ,
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 16:41:04 GMT
100286
3615
227
184

Music

Download

Comments

sheby_love_0
Sp Kijino 111 :
Ajali nyingi tena nyingi sana boda boda wanakua wana sababisha wao kwa ukosefu wa nizamu kubali kataa huo ndo ukweli,
2026-08-16 07:59:14
75
bushmen5648
R.I.P MAPENZI💀 :
umasikin ni upofu kwakwel yani mtu kaua kisa tu ana gari mnaanza kumsujudia kwenye sms et boda ndo anazngua kisa tu ni gari vp kama angeuawa ndugu yako wa karibu
2026-08-16 08:26:30
29
user2343584431508
hayzer fellas :
mungu tulindie baba zetu huko mabarabarani
2026-08-16 07:37:09
98
ibrahimkijazi
🏌️hard work 💪🏌️ :
me ninge penda kushauli jesh letu la police boda boda hatuwataki 🤔🤔🤔
2026-08-16 12:30:41
7
mickydrippi
Tress :
kwa nn akimbie
2026-08-15 19:50:54
1
user8443273586350kau
KIDOTI OG💦💦 :
akuna anaependa kumpa mtu ajali ajali nikitu mitukapangiwa na kivu kila mtu atakufa msipend kuhukumu
2026-08-16 17:20:22
4
innocentthoms
innocent :
daaaaaaah 😭
2026-08-16 10:39:22
5
mauzooficial
Mauzo ride👀🏍🛣 :
Unajua kuna wakati bodaboda hawana ustaarabu...ajari barabaran nijambola kawaida kwaiyo msipende kuchukuw sheria mkononi jamani🤔
2026-08-16 12:54:02
3
asha.ally052
Asha Ally :
Mwenyezi mungu amlinde mume wangu barabarani
2026-08-16 10:36:49
9
dable.tee
Double tee :
Boda bod mmezedi jamn kutembea hovy barabaran mwachen mzee wawatu
2026-08-16 09:47:04
4
dee.rchauya
Dee? r,chauya :
Duh sheria mkonon haifai jamn ndug kwa sababu alikufa ni kafa tu na amna dereva anapenda itokee ajali na ikitokea dreva akawa na akili tofaut anaweza wamaliza ata apo kwa sabab gari ni gari tu
2026-08-15 19:32:09
7
eliaskihaga3
ELIAS KIHAGAOFFICIAL. :
wengine wivu wa maendeleo sasa gari ina makosa gani, mwenye makosa dereva.
2026-08-20 15:12:29
1
user5396558490616
e :
lazima mfe
2026-08-16 10:26:04
0
daudemmanuelmausa
poison😜😜 :
jamaa hajaua kama mnataka ukwel nenden kwenye accaunt ya chado maana iyo gari ni ya chado ameongelea ukwel wote na huyo jamaa aliepasua hicho kioo amekamatwa na amefunguliwa kesi
2026-09-14 15:32:14
1
glor7007
🧸glory7007🦋 :
Naskia sauti zinasema KWANINI UNAUA ALAFU UNAKIMBIA!!
2026-08-16 09:53:49
3
daudimarwatz25
DM Tz25 :
kwa sababu ya kuongezeka maasi, siku za mwisho upendo wa wengi utapoa
2026-08-16 17:49:59
1
ahmadntarambe
Ahmad Ntarambe :
inatakiwa muamini kuwa barabaran ajali hutokea
2026-08-16 04:06:19
6
user4835072392162
way a mdilax :
oya nyie wabongo muna roho xo mzuri baazi ya w2 ayo xo maixh ndug😳
2026-08-16 09:03:30
2
user2523939447624
user2523939447624 :
kosa lake hapo amekimbia ndo maana watu wamekuwa na hasira kali
2026-08-16 09:05:36
2
mmbiki1
mmbiki :
😭😭😭utu umetoeka binadamu wamekuwa kama simba mawindoni pesa yako inakupeleka kabulini😭😭Mungu tuokoe
2026-08-16 06:16:31
3
jacksonmzungu1
Jackson Mzungu859 :
Hii mbaya Mbona wao wanakimbiaa kukimbia sio tatizo Je amekwenda sehem salama angekimbilia polis tuu
2026-08-16 04:46:14
1
directorkenny4
director Kenny tz :
tandaareee road iooo
2026-08-16 06:16:36
1
ahmedseif_3
Ahmed Seef :
wapi iyoo
2026-08-15 19:05:45
0
princepantaleo
PRINCE :
kwa taarifa za ndani nasikia ni gari ya chado Master
2026-08-15 20:07:09
2
mamakekafu
m ruby sumira :
Usiombe yakukute
2026-09-26 05:17:09
0
To see more videos from user @iddy1651, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About