@judge_roy: ujumbe wangu kwa masera

judge_ roy
judge_ roy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 16:43:55 GMT
20965
1991
43
35

Music

Download

Comments

ceama2020
I❤️🫂God 🥰 I ❤️@ceama2020 :
nimekuDM Leo mwezi sasa hujawai nijibu
2026-08-15 16:57:02
13
goodmsoka
Good Msoka :
bro Roy mwanamke kila unapo mshauri na kuongea naye yeye anaka kimya hajibu kitu Nishauri jambo
2026-08-16 04:48:54
3
mnangwa02
Omaryshemkulima :
ujumbe mzur
2026-08-16 13:19:37
1
rajaboy428
St@r Boy Offici@l :
judge ni maneno gn napaswa kumwambia mwanamke ambae umesha mshaur kubadilik lakn bado baada ya kugundua anakucht kwa kuekti anakupnd ili muachn
2026-08-15 22:06:10
3
evansbillionbaby0
kassim muktary :
yes uko sahihi ni macho ya mbali sio sana soon itakuwa as you wish my brodher
2026-08-15 20:03:36
7
eduardomoises09
Eduardo Moises :
judge kwa nn sikuizi vijana tuna pupa ya kutaka utajili wa haraka,tofaut na vijana wa mwaka 1990 kushuka chini?
2026-08-16 08:49:26
2
dvj.bimbim
dvj Bimbim :
judge mapema sawa 😁😁wacha tutafune kwanzaa. Mda wakuchuja tutajua
2026-08-15 16:58:41
3
kalikawe.itembwe
Kalikawe Itembwe :
sahihi father mkuu umeeleweka
2026-08-15 16:56:08
4
simplystee22
$tizoo :
Mr Roy mtu akitoa kafara ya mnyama mja anapaswa kula nyama ama kuchoma
2026-08-16 16:34:07
1
official_mawazo
IBRAHIM _DE_ZANZIBARE :
nakupenda sana mzee wangu, mungu akubariki🙏
2026-08-16 22:35:50
1
babaamulike
babaamulike :
ata mimi natembea bila viatu kama Mrisho mpoto
2026-08-15 17:00:58
1
27chakali
🫥 :
kwakweli mimi huku nje sina kitu najifunza kipya zaidi naongezeaga tu ila vingi nimejifunza nyumbani
2026-08-30 09:43:14
1
charlesvedasto878
chazdepac@111 :
yupoooo uyo mzee mwaka jana nilienda nikamkuta
2026-08-17 09:39:34
1
xgmail.com35
muchut kawela26 :
kabisa mkuuu
2026-08-17 15:12:36
0
humanity.01
Dark-mode :
Tuchangie kipindi
2026-08-16 08:36:15
0
prosperfrank8
ProsperFrank :
fire
2026-08-15 17:00:09
1
user245735681834
E4d :
uhakika
2026-08-17 15:39:59
0
ba.g36
Ba G3 :
Dah umenikumbusha mzee wangu wa geita bus 🚌 imebaki story nahis vijana wengi hatukai karibu na wazee wetu 🙏
2026-08-16 06:03:35
0
qtq055
KAHAMA HALWA SHOP :
duuuh! hatari sana.
2026-08-23 14:37:43
0
nazzniger
Rich Gang 👊 :
somo jipyaa tumechukua Baba bless up🙏
2026-08-15 19:04:14
0
twgger0555
Twiga company L.T.D $100.00 :
me ww sikupingi
2026-08-16 10:50:05
0
juniorsboy4
Humble :
gadem magafuck flani hivi hio nimeipenda sana ulivyo isema upo serious kbs
2026-08-15 18:00:14
2
emmanuelsayi0
Imani Sai :
rusahunga
2026-08-18 06:36:05
0
elijucha
ELIJUCHA :
Elias chacha, toka mwanza .judge unaonaje hela za Tanzania 🇹🇿 ziwekwe kwenye mfumo wa serial number.
2026-08-19 09:58:13
0
To see more videos from user @judge_roy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About