badilisha usafiri tumia usafiri ambao unatumia umeme
2026-08-16 10:09:10
10
@'hafidh Graphics 🧑🏼💻 :
meneja haajiriwi lakini bro.
2026-08-16 10:56:06
3
G.H.B🎠 :
Chukua chuma ya umeme tafuta dereva unamlipa kulingana na nauli hzo
2026-08-15 18:16:42
6
Emmanuel 12 :
chakula nacho nilazima kipande bie
2026-08-15 18:26:11
4
STEVEN LAY 💜🕊️ :
sawa ai chenginee 😅 sema unajuwa kaka god bless you
2026-08-15 18:34:01
2
Daniel Abuu :
ludisha bei elf 3 nunua baiskel azitumii petrol
2026-09-03 22:23:30
2
smartboy :
ongeza bei ya chakula
2026-09-05 11:08:46
0
Ixax X :
chakula huza 8000-9000. na delivery Fanya 3000 mpak 4000
2026-08-16 06:51:42
3
__-shad gamer :
fanya iv ili wateja wanunue chakula basi pandisha bei ya chakula iwe elf kumi na delivery ibak buku tatu ,maan ukiangalia wateja hawanunui chakula cy sababu ya bei bali sababu ni delivery,na ww kweny ile bei ya chakula unachua ile elf tatu ulio ongeza , unaongezea kwenye mapato ya delivery kupunguza gharama
2026-08-18 00:15:16
4
IQRAM BOY :
Pandisha bei
2026-08-30 17:17:55
0
JEY :
ongeza bei ya chakula punguza usafili
2026-08-15 20:49:39
2
Guit macho :
Sautiyako inafaa kufanya unacho fanya maaana ni nzury
2026-08-16 13:38:48
1
fela boy :
fanya delivery kwa kutumia baiskeli
2026-09-03 21:13:13
0
Robinora_☘️🌟 :
inabid Manager anunue kwanza bando la mr chengine ili bei ya petrol ishuke....🙏👌
2026-08-22 17:42:47
1
KENZO D SR 009 :
chakula 10000 alaf delivery 3000 akishapata hela iyo unatoa 7000 yako ile yakawaida alaf 3000 unaweka kwenye mafuta😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-03 12:05:04
0
Aldor Mziwanda :
ongeza thaman ya chakula yan lbd kuongeza vitu kwny hch chakula ila bei ya chakula ipande
2026-09-03 14:31:40
0
Beatha seleman :
Nimeelewaa
2026-08-15 17:18:45
0
Mask m.a.n.. :
pandisha bei ya chakula afu usiwachaji ela ya usafiriiii
2026-08-29 10:44:31
0
Sam Yeezy💦🍀🇪🇸🇪🇸 :
usifanye delivery
2026-08-28 15:31:36
0
jomea investment :
pungunza bei ya delivari weka 4000
2026-08-29 16:14:41
0
Tydan Og :
pandisha bei ya chakula kiwe 10k alaf delivery ibaki 3k😎😎
2026-08-29 13:21:39
0
ALON BUT HAPPY 😁 :
sina wata ku eenh enh enh😊
2026-09-06 18:04:54
0
Bad_. hilax :
Wambie waje wenyewe
2026-08-28 16:48:14
0
Deenation :
Nitanunua Piki Piki za umeme ili kukabiliana hiyo changamoto ya
2026-08-15 17:33:01
0
To see more videos from user @mr.ch3ngine, please go to the Tikwm
homepage.