@apostlemathayonnko: Utulivu ni baraka ambayo si kila mtu anaweza kuielewa. Kuna wakati Mungu anakuondoa kwenye kelele, mijadala na watu wasiokupa amani, ili akufundishe thamani ya kuwa na moyo mtulivu Usiogope ukimya; wakati mwingine katika utulivu ndipo Mungu huongea zaidi. Linda amani ya moyo wako, kwa sababu si kila jambo linahitaji majibu, na si kila vita vinahitaji upigane #ThamaniYaUtulivu #AmaniYaMoyo #MunguKwanza #Imani #Neema