@mr.kalesi: A E I O 😂🙌 B+A = BA, M+A = MA… Bukujero imeunganisha sauti na sauti, tukapata silabi! 😂🔥📚 Learning has never been this fun! 🙌#mbosso #bukujero #viralvideo #trendingnow @Mbosso Khan

MR.KALESI
MR.KALESI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 16:47:49 GMT
161700
19312
973
876

Music

Download

Comments

mrema
Tenie :
Gain with warm up 😂😂
2026-08-16 12:32:41
0
_hanxuly26
h@nxuly🪄 :
kuna backbencha anabambia humo humo . ana enjoi economies of scale 😀😀😀😀
2026-08-16 07:23:58
7
pretty.mine60
pretty 😍mine🦋 :
mwalim mnapokea mtt wa miaka 21
2026-08-16 06:28:47
155
vailethmwabubili
vai cute🥀💓💞 :
watu wazima tunaruhusiwa kuja kujiunga
2026-08-16 05:04:27
83
marymitedy
Mary :
kwan walimu kma hawa zaman walikuwag wapi😁
2026-08-16 03:25:20
589
trinanah12
It’s Irene💕😉😍 :
Darasa la nne wakisikia mzikii darasa la kwanza😆😆😆😆
2026-08-16 08:15:36
146
isamudy
beno IM :
mbona siku huz kusoma kunaraha hata teacher humuogopi
2026-08-16 03:30:03
247
user5529401476632
HMZ luambano :
umetisha sana kwa stahili hiyo aaahhhhh mtoto atakuwa anapenda xhure
2026-08-16 06:51:54
0
user6958242661815
MASH :
wamagari yanjano watajua ni wasafi festival
2026-08-16 11:41:37
27
mrp1549
Petter Ld :
kumbe mimi nilisoma jera miaka 7 nikamalizia mahabusu miaka 4
2026-08-16 08:07:17
66
roy_willytz
Roy Willy :
Hata mimi ningefundishwa kwa stail hii nisingefeli mbona😁😁😁
2026-08-16 02:27:50
182
mubaraq.melf
Mubaraq Melf :
school vibe💥🔥🔥🔥
2026-08-16 13:10:53
1
user3170886545696janethy
Smile cute ♥️🎀 :
Mwanao asipo elewa na hapa bac sasa😅😅😅😅anyway Congratulations teacher 🥰
2026-08-16 08:13:49
2
zeytoon04
Zeytoon Tunda 🍋🫦💍♎️🔐 :
hiyo shule iko wap nije au ampokei wanafunz wa miaka 34😂😂😂
2026-08-16 08:19:30
27
anordjackson47
anordjackson47 :
m nachojua nikuiba maarifa haya na kulike video
2026-08-15 17:12:02
73
zinazo_trend_mitandaoni
ZINAZO_TREND_MITANDAONI⛎ :
Wakati nasoma kabla sijafika shule nilikuwa naskia saut za viboko,hawa walim wa saiv wametokea wap
2026-08-16 05:46:52
50
evance_94
Evanciie_Zach🫟🏌️ :
Uwalimu ni wito 🔥
2026-08-16 09:10:59
9
_k.i.d.d.e.r
kidder :
watu wazma tunarusiwa hii shule😂🔥
2026-08-16 03:30:56
25
chingwe8
𝐀𝐜𝐡𝐮𝐳𝐲 ⛎ :
ingekuwa tume soma hivi sijui Kam ninge kuwa na tega shule
2026-08-16 07:51:38
18
stellaamza1
Stellaamza1 :
haya mambo yangekuwepo tangu zaman hv leo mm ningekuwa hapa kwel ??
2026-08-16 07:44:56
6
rehema.salum89
Rey cutejr :
hapo watoto wanapendaga tu kukuche waende shuleeee😂😂😂ubalikiwe mwalimu🙏
2026-08-16 06:48:24
7
izzo.b48
captain B :
Sema huyu mwalimu nampendea hapa yupo unique
2026-08-15 17:12:41
44
funcomments1
MamaGG Accessories Zanzibar ⭐️ :
Mwalimu unavipindi vya jioni? Nikitoka kazini nije
2026-08-16 08:18:26
13
To see more videos from user @mr.kalesi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About