@laizerone255: #Love #loveyou #nairobitiktokers #duet #masaimara

champion255
champion255
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 15 August 2026 16:49:12 GMT
56123
1236
241
163

Music

Download

Comments

user5277408758501
Mwasty 💞🎀 :
ningeshuka kwenye gari nianze kukimbia 😁😁
2026-08-16 15:55:35
20
momkev0
Barbie Girl💦 :
kwan ukimgonga na gari inakuwaje man naonag watu weng wanamsubil apite
2026-08-16 12:55:33
57
user6530628212618
kamamaa :
mpka anamaliza kvuka hyo barabara nmeshalowana utosin ad unyayon😅😅😅 mnatoanga wap nguvu za kurekod izii vtu akii
2026-08-16 16:06:37
21
lovenessmichael34
lovenessmichael34 :
Samahn hii ni kweli??
2026-08-15 19:06:33
11
userflorayeseya1
userflora yesaya :
🥺
2026-08-18 20:54:11
2
tinahbby
Tee-v8🦋 :
Kapendza mwenyew mashallah ananesa tu
2026-08-16 21:39:50
5
habty61
habty ♥️ :
Matatizo gn kwani ukimgonga anakuletea mtatiz gn
2026-08-16 07:11:12
13
zawadikarata54gma
[email protected] :
nilishawahi kakutana nae ila Mimi kwa uwoga nilikufa hapohapo
2026-08-16 04:48:48
12
ashuranaomiy
Ashura Naomiy :
mimi kwa hizi akili zangu ningeshuka kwa gari nikimbie niache gari
2026-08-17 08:48:16
1
adella.nzijilo
Adella Nzijilo :
😂Me nilipatanaga na mtoto wa chatu alikua wa njano na madoa meusi kajivilingisha kwamti nilikua darasa la 2 daah sinikajua kitambaa nikataka kuvuta nashangaa ki2 kinapumbua kinaanza kunyooka lona vimbaa miguu saidia roho yangu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
2026-08-16 20:50:35
5
janelebayo466
@MimyAspenazy :
hapa namuona kwenye simu natetemeka dah
2026-08-17 03:10:08
3
sityy.baby
sityy baby :
hali yangu ningekuw hv saiz
2026-08-17 04:29:38
1
janhety
janhety❤️ :
kwanza anaweusii wa kutelezaaaa😂
2026-08-17 03:03:38
8
sophia.manyanda6
sophia manyanda :
sijaona mtu anasema ni vitu vyangu kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-17 04:26:50
1
cutefarha2
👑Queen🦋Farhat💗🇹🇿🇴🇲. :
nmuone tu kwenye cm😄😄
2026-08-18 09:05:24
2
user7975511762021
mahrashedafa :
mzury mwenyewe anawakawka 🌹
2026-08-17 11:44:53
1
momfire1
chagha girl 👧 🩶🖤 :
yeuwiii😳
2026-08-17 03:56:21
4
miss.aphy
Miss Aphy❤️ :
Nayeye alizaliwa et ana wazaz
2026-08-17 10:26:11
2
shabiashabbir
shabia chawandas shabbir :
heh huyu mkubwa!
2026-08-16 22:15:38
1
shammyshammim32
minah asan💫💥 :
ivi anaelekea wapi apo usiku macho yake yanaona
2026-08-19 10:32:22
1
gee45277
Geey💞💋 :
Gari ikiwa kasi anamgonga na akuna kinachotokea
2026-08-17 07:45:37
1
prettyishaa219
pretty Ishaa :
mbona anatembea jujuu editor hiyo 😁😁
2026-08-17 08:44:45
4
edna.urasa
Edna Urasa :
vitu vyangu kabisa ivo🥰😂
2026-08-17 04:40:48
1
To see more videos from user @laizerone255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About