@naupenda.uislam: #creatorsearchinsights #islamreligionedit

NAUPENDA UISLAM
NAUPENDA UISLAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 16:51:20 GMT
15704
590
105
134

Music

Download

Comments

idrees.ally
Mr kim :
Allah akuzidishie khery shkhe said
2026-08-17 09:42:39
1
barista_mswahili
Barista_mswahili :
the second video wameigiza vikings 😂
2026-08-17 12:09:35
1
masoamaan
Masoud :
mshaambiwa zaman maulid ni bidaa sasa mwasikitika nini ...maulid si katika ibada kwa hio kila kitu kitaengezeka
2026-08-16 08:48:40
13
amido7777
Amido :
Bidaa haina kikomo, dawa ya bidaa ni kuwacha kabisaa. Ukishaianza haina kikomo, hauwezi tena ku control kwa sababu haina msingi kwenye dini, kila mtu atakuwa yuwafanya anavotaka. Maulidi ni bidaa na haina guidelines na hii ndio khatari ambao ndugu zetu hawaoni. Kama twaona haya kwa sasa, tutaona vituko zaidi kwa vizazi vinavokuja
2026-08-16 11:01:48
3
nimungutu8
AMBASSADOR123🥰 :
wewe ni huyu ama 🤔🤔🤔🤔
2026-08-16 14:19:40
8
hudheyfa.m
hudheyfa :
لقد فتحتم الباب
2026-08-16 15:08:03
3
user83183079163247
yusuf barasa :
tunajidai kumpenda mtume wakat tukimuhalifu kw vitendo inaskitisha sna wallah
2026-08-16 14:30:50
2
mosram360
Mosram360 :
dooh mbna mapema hv?
2026-08-18 01:39:11
1
hm99387
HM :
Sasa hiyo siyo samai hiyo ni taarabu
2026-08-17 22:27:24
1
yuzaseefabdillah.123
Yuzaseef :
mziki na ala zake ni haramu
2026-08-16 11:18:54
4
albatul2022
awnaka ya rab :
ust said umesema kweli kabisa
2026-08-17 16:03:56
1
uzaulee_and13456others
UZA_ULE and 13456 others :
2026-08-16 11:03:16
0
musa_saleh5
A :
الحق قلت
2026-08-16 11:21:32
2
mishiabdallah97
ummu ridhwan :
subhanallah subhanallah subhanallah
2026-08-16 12:27:35
1
alweeyerabherz
alweeyer abherz :
Twari pia hakuna la wanaume
2026-08-17 12:29:11
1
user3339608454666
user3339608454666 :
hapo usema kweli kabisa
2026-08-16 13:04:58
1
noorderek
Nurdyn derek M001 :
uswahili Kuna mambo
2026-08-17 10:45:54
1
1abdo430
Abeid :
umeanza kuamka sasa
2026-08-16 14:54:35
1
kassimabubakar3
kassimabubakar3 :
ustadh Leo umesema ukweli kabisa hakukosekani fikra mbovu na uwasharati
2026-08-16 14:19:01
1
alimahmoud0540
💯Abuu Quhafaa😊 :
Allaah Tuongoze Yaa Rabb 🤲
2026-08-16 06:50:13
3
jumamusa191
mwakuchi1234 :
panapo koseka watu waambiane najua wengine watakuchukia lkn lazima watu waekane sawa big up broo
2026-08-17 12:52:11
1
aaaalan3
Aaaalan :
Sheikh umeongea ukweli kabisa. Sisi Sisi ndio twachafua
2026-08-17 16:32:20
0
kassimmohamed582
babhalo :
kama si maulidi ni nini...?😃
2026-08-17 03:12:35
1
hy.l.hms
Çhûî 00¹ :
Sasa Samai na taarabu inatafauti Gani
2026-08-16 13:15:40
3
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About