@gm_lavender_mall: “Mama sikuwah kujua kama viungo vya mwili vinawezakua na maumivu makali hivii😭 mama nna maumivu mpk dawa za maumivu hazinisaidii wala sindano” Haya ni maneno ya mtoto baraka anayetamn sana kumalize masomo yake ya kidato cha nne. Baraka anasema alikua mzima kabisa tangu azaliwe, lkn ghafla tu mwezi wa sita mwaka huu akaanza kupata maumivu makali ya miguu usiku, miguu inakufa ganzi na kumpa maumivu makali sanaa. Alikua anajitahidi hivyo hivyo kunyanyuka na kwenda shule lkn kwa sasa ameshindwa kabisa kwani hali yake imezidi kua mbaya sana. Ombi lake kwetu ni tumsaidie aweze kwenda hosp apate matibabu kwa haraka ili afanye mitihani yake ya kidato cha nne mwaka huu. NDUGU ZANGU TUMEJITAHIDI SANA KUWEKA TABASAMU KWENYE NYUSO ZA WENGI, NAWAOMBA NIMLETE NA BARAKA KWENU MUWEZE KUMPA TABASAMU NA YEYE. TUJICHANGE WENYE 500, 1000, 3000, 5000, 10,000 TUZIUNGANISHE KWA PAMOJA BARAKA AFIKISHWE MOI MOJA KWA MOJA KWA UCHUNGUZI ZAIDI (#0715609319 tigo pesa) (#0747300303 (m pesa) (#0683248908 (airtel) GLADY LIPA NO #17575546 MIX BY YAS
GM LAVENDER MALL
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 16:52:12 GMT
Music
Download
Comments
jeshi💪💪 :
Almighty God we need your intervantion in this biy 🙏
2026-08-20 20:23:06
1
Tricia trevor :
I pray that God hears ur cry utapona kwa imani🙏🙏
2026-08-20 21:09:14
0
M.M COLLECTION :
tunakuchangia kwa kasi ya 5 G
Na utapona kwa uwezo wa MUNGU
2026-08-16 07:17:26
233
Neema org :
pole dear
2026-08-21 15:34:13
0
Andrea Malima :
pole san
2026-08-20 06:50:24
0
shaniter loveran :
Jmn napataje namba za kumsaidia huyu mtoto!?
2026-08-15 22:42:32
64
Queen Ely :
Quick recovery 🙏🙏🙏
2026-08-20 21:31:49
0
SYLVIA🇰🇪💞🦋 :
utapona baby boy😭
2026-08-20 20:44:39
0
NYANJUU OSBON KAPOLA❤ :
apelekwe na kwenye maombi
2026-08-15 19:23:42
51
HIT and RUN 👌 :
mm Sina pesa ila ntakuombea mdg angu MUNGU ni mwema utapona Kwa Imani 🙏
2026-08-15 19:37:01
156
user657958194365 :
uyu mtoto yuko wap i mean kwao n wap pin location plz
2026-08-17 02:58:20
7
🌸🌸hatespeechgaluser74🦋🦋 :
Receive Healing in Jesus name
2026-08-16 15:56:13
8
it's me :
mpelekeni maombi jamani, na DAMU YA YESU imiminike kwenye mifupa yako kijana uuwishwe upya kwajina la YESU,🙏🙏🙏 na tutakuombea pia, wanapiga mtoto wawatu asimalize masomo umeahindwa kwa jina la YESU 🙏🙏
2026-08-16 12:23:59
21
ngelu :
utamalizia masomo yako mungu ni mwamnifu mwanangu pole
2026-08-16 08:19:12
15
Lightness :
katika jina la Yesu ugonjwa ukuachie
2026-08-16 20:38:35
9
mina :
pole sn mwenyezi mungu hatakuvua Hilo nalingine
2026-08-15 17:50:53
13
Alice Erasto :
tumchangie na maombi pia ni muhimu sana
2026-08-16 12:52:19
5
zuu__🧡🦋 :
ambao mmejaariwa pakubwa tunaomba mmuangalie huyu kijana nn sisi tuliobaki pia nguvu hata ya buku n kubwa.
2026-08-15 19:29:05
5
12345 :
Mungu ni mwema atakuponya
2026-08-16 15:48:09
5
gallery 🍒🍒 :
pole sana mwenyezi mungu atakufanyia wepes
2026-08-16 13:34:17
6
mama twins :
Dan wema hii video ikufikie
2026-08-16 08:27:15
9
asha HS :
weka nomba
2026-08-15 17:00:23
10
userbeauty ummy :
pole baa utapo kwa uwezo wa Allah
2026-08-16 08:37:27
5
queen esma :
pole mtoto mzuri utapona kwa jina la yesu
2026-08-20 03:35:40
4
annastazia mussa :
pole sana mtoto mzuri
2026-08-16 15:54:46
2
To see more videos from user @gm_lavender_mall, please go to the Tikwm
homepage.