@medardcosmetics: Ngapi vile 😂😂🤗#tanzaniantiktok🇹🇿 #wachaga #wachaga_og #kaskazini #kenyantiktok🇰🇪

Medard jr 🧢
Medard jr 🧢
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 15 August 2026 17:26:48 GMT
76519
6242
287
354

Music

Download

Comments

wamirmbe
FRED KWAY :
mnatupandisha mashetan
2026-08-19 02:46:00
41
boniphacekathryn
kathryn :
kama si mchaga huwezi elewa😂😂,,,wachaga oyee
2026-08-19 18:32:58
51
aiem.anne
Aiem anne :
aaah nataman nije kabla ya mwez 12😅
2026-08-16 08:04:23
25
m2livuboi
M2livu Boy :
Daaaah kw kwel ngoja nianze kuweka hela kdg kdg ya nauli 🙏
2026-08-16 11:59:44
9
dingootz
Dingoo_Tz :
Daaa wew jamaa unapandisha watu mapepo😂
2026-09-02 12:27:16
3
henryrobertjr1
HERO :
Tuacheni bhana hatuna hela 🤣🤣🤣
2026-08-18 18:29:53
2
recho.mushi4
Recho Mushi :
miez 4 ty jamn
2026-08-29 07:08:16
0
tinah.godfrey350
Tinah beiby350💓💕💞 :
jamn me nkisikia nawaza mwaka umeisha n nn nmefanya cha maana uwiiiii
2026-08-16 12:41:14
6
marry.kavishe6
It's marry🌺🌺 :
nikiangalia na vile cnh hela ndy nachoka
2026-08-16 20:05:15
5
merrychuwa355
Merry Chuwa :
ww utanip naul
2026-09-06 13:05:57
0
mkalimani.tz
Mkalimani tz :
sio powa
2026-08-20 19:50:30
2
asseyinvestments
MOBILE ACCESS MOSHI📱 :
🔥iyo mbeke🔥🔥🔥
2026-09-12 19:08:20
1
binti.marselin
Miss d ♥️🔥 :
wewe ivi unajua sina ela kwann unifanyie ivyo🥺🥺
2026-08-17 09:30:55
1
mfinangalove8gmail.com
official ❤️😍💖 :
bado miez 3 kuufikia mwez husika
2026-08-23 13:57:35
2
user5705812484615
sarahmoshi :
tup babd mitat tu
2026-09-13 16:14:42
0
user616922474310
Ai kiwelu :
mungu tunaomba uzimatyu
2026-09-14 12:44:24
1
marrycute..varchie
@cristacute..varchier :
Bado miezi 3 ifike christmass
2026-08-30 16:03:39
1
gamtz06
GAM TZ :
izi song zinanipa focus ya kutafuta ela kwakasi
2026-09-14 12:18:07
1
nancy.temba5
TEMBA😋 :
4
2026-08-15 18:22:13
4
red.eyes470
red eyes :
mbn unataka niende kabla ya mda
2026-08-16 07:44:36
1
sfredojoy33
@scorpion boy :
ebu tulia kwanza nikikumbuka naanza kuchanganyikiwa 😂
2026-08-19 16:25:29
2
missmatemba
🫧Miss~Marry🥰🤍🦋 :
Wachaga ndo wanaelewa
2026-08-21 10:24:59
2
user5699263374774
Lucy🎀🦋 :
mm hizoo nyamaa tuu ndo zinanifanya nitafute hela mapema nisije kosa nauli 😅😅😅
2026-08-16 10:06:07
2
1002emmylixious
Minally🌹🌹 :
nikisikia hii nyimbo nakumbk mbl sana kuna mwl wang alikua anapend kutuaimbia miez ya November na December,😭now hayp Duniani😭😭
2026-08-16 11:24:16
1
nemes.madin
Nemes madin :
mbona mapema ivyo mzee
2026-08-15 20:14:33
2
To see more videos from user @medardcosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About