upoteze muda usipoteze wote tutakufa TU si tunaoangalia mpira tunapoteza muda sawa mwanetu
2026-08-16 06:29:38
7
gabion :
Nimekupenda sana Dogo. Mpira ni hadaa ya akili iliyotengezwa na watawala kuwasahaulisha watu taabu zao tokana na kushindwa kwao kusimamia mipango ya kujiondoa kwenye umasikini.
2026-08-16 09:07:20
6
Joe :
Watu wa Forex sijui kwanin mnapenda kujiona wa tofauti
2026-08-15 22:33:58
15
_Bennie3 :
unaongea kama chatgpt😅
2026-08-15 22:11:41
8
Call me saint :
😂😂😂😂Hii movie haijatfsiriwa kweli?
2026-08-15 19:00:21
16
jm :
si shabiki mpira
si ingi clup
stareh yangu napenda kusikiliza music hususa hip hop
2026-08-15 18:35:07
10
Hon Bonface :
kwahiyo hii inatusaidia nini sasa
2026-08-16 09:19:31
0
lazness lay d# :
kaa vzr bhana kheee😁😁
2026-08-16 18:42:27
0
Risto🤑 :
Kuna sehem na wewe unazopoteza muda wanaopenda mpira awawezi kupteza,
2026-08-16 13:45:32
3
SELVIX TECH :
kabis bro huyu ni me kabisa sifagilii kabis naona napoteza md wangu na kuwaingizia wenzangu pes
2026-08-17 15:19:54
2
steezy_$99 :
ila jamaa umepoa san.... but mpira tuache nao tuu🤣
2026-08-16 12:03:42
3
MOH.SAIBARI :
mwanaume huwez kusema siwez kushabikia mpira🤣🤣🤣🤣
2026-08-16 06:51:46
7
MKAKA WA MBOLEA 🌽 :
2026-08-15 23:04:11
2
Yusuph_H D :
Daah nilihis niko pekeyangu dunia nzima ambaye sifagulii vitu vya kupoteza mda kumbe tupo weng
2026-08-17 10:39:37
2
Imma Sigaro :
vitu vingine muwe mnatuacha jaman
2026-08-16 17:21:01
1
To see more videos from user @amrisaly, please go to the Tikwm
homepage.