mimi cna ata uyo mwenzangu sitakiwi kabisa nimechoka naomba nisaidie nipate mwenza
2026-08-16 00:34:20
4
Husein Said :
ndo mm kbc
2026-08-17 13:04:59
1
Asunta mbawala :
Doctor kama ulijua ninayopitia mim,mume wangu alinipenda sana lkn sasa hata watoto wake hawajali.tena kuondoka nyumbani kaenda kupanga asinione tu.nisaidie mume wangu aludi nyumbani.
2026-08-16 19:50:32
1
miss nia da cute :
mbona dalili zote anazo mumewang
2026-08-16 19:57:41
2
rahima :
dalili zote hiz mm zimetokea mpk saiv tumeachana ila nashukur kwa kila hali
2026-08-16 06:49:15
1
ZaituniAthuman :
kama amerogwa na mchepuko siwez kuhangaika nae apambane nani nipambane ki vyangu
2026-08-16 18:07:34
2
Fatma Yassin :
subhaanallah...innaa Lillah... shukran sheikh kwa kutufahamisha
2026-08-15 19:48:59
3
Zahra Chima :
nakupatajeee
2026-08-17 03:28:31
1
Farhiya :
mume wangu yalimkuta kipindi anataka kuoa mke wa pili
2026-08-16 17:32:02
1
Antonia Romani :
Mimi yamenukuta ayo na mbaka Sasa tumeachana huu mwaka wa19 nisaidie mana nilizaa nae mtoto amuudumii
2026-08-18 13:41:20
1
ma mtu :
dawa yakenn
2026-08-16 11:00:11
1
Asya mtulia :
tanafanyaje sasa maana mengi ulioyasema yapo
2026-08-16 04:00:35
1
Asowake ana mungu :
wangu uko hivo Kila mtu analala kwake ananipiga
2026-08-16 11:12:11
1
hunter :
unapatikana wapi
2026-08-16 14:13:00
1
sudeys :
jaman mume wangu hivyo hivyo
2026-08-16 20:24:57
1
rahima :
asante anataka kuowa ndoa saiv nyengine mm nilijishusha sana kwake ila haikuwa bahat kwangu nashukur
2026-08-16 06:58:31
1
sudeys :
tunaomba namba
2026-08-16 20:25:28
1
salmasheby2 :
mm wangu kanichukia na nyumbn kaondoka baada ya kuoa tu mke wa pili
2026-08-16 18:09:19
2
Mama Boys :
Unapatiakana wap
2026-08-16 17:35:17
1
Mamamii :
mm sina mwenza ila najiona sina bahat nikipata tu mtu ananibadilikia hafla
2026-08-17 14:37:51
1
Aisha Babu :
dalili zote ninazo mimi nagombana na mtu wangu kuna mda nawaza nimuache yaani kama sahiv hatupendani kabisa
2026-08-17 15:54:59
1
mama farhiya :
ndicho ninachokipitia ni kwa muda mrefu sasa
2026-08-22 03:46:52
1
nelly auma :
dalili zote anazo mume wangu
2026-08-24 18:45:49
1
Official Marry :
kweli dalili zote anazo
2026-08-17 08:07:11
1
To see more videos from user @shekhnassoro, please go to the Tikwm
homepage.