acheni nyie Nina wakiume wa 3 neenda juzi kufanya ultrasound nakuta tena wa kiume sio Siri nimetoka njee nikalia Ila sawaa nimekubali 🙏🙏🙏
2026-08-17 15:32:19
22
mama omi :
EeMungu jaalia namie nipate wakike🤲
2026-08-16 06:44:06
30
😘mamaa🤩😜 :
wangu pia kabana miguu nataka nikamuangalie tena mwezi huu kawe ka kike basi mungu
2026-08-17 15:58:42
5
Mama kim beauty salon🪮❣️😍 :
Mimi sielewag hizi picha atanieleweshejwe
2026-08-17 12:50:08
2
dada j :
wangu nilienda kufanya Nilikuwa na miezi 6 alikuwa anaonyesha ushirikiano nikutanua tu miguu namsubiria baby girl wangu💕💕💕
2026-08-16 17:21:42
6
Sabra :
ultrasound ctokaa niiamini walai c ikanambia nina wakike nkajituma kununua pink za kutosha afu theater naambiwa hongera umeleta dume... nlimwambia DR so kwel mm wangu n wakike akasema nesi mletee mtoto wake kabla hara hujamfuta
saiv namvalisha tu pink kijana wangu ila cjui hizi stoken ntampa nan
2026-09-03 19:48:43
2
Sasha :
Mm kila nikienda ultrasound naambiwa kajificha, kabana miguu mara tatu hospitl tofaut😔
2026-08-16 18:29:33
2
bizabibu :
je ukifanta utrasound wiki 18 unaweza kuona jinsia?
2026-08-25 09:22:12
1
offical nino :
mm sitaki ata kujua jinsia yake nitajua akija duniani
2026-08-20 18:56:44
1
SHOP WITH ME❤️🫂 :
kufny ultrasound kwaajil y kumuangalia mtoto ni mara ngp ?
2026-09-03 12:18:43
1
Lyna..🍂 :
Ndani ya miezi mingap unaweza kuona jinsia
2026-08-16 12:46:36
2
Edina jafet sabugo Sabugo :
sinaga uhakika sana nahiki kitu
2026-08-16 06:28:32
5
🦋boss lady 💕🌹 :
unatakiwa kupiga ultrasound ikifika wiki ngap
2026-08-16 21:29:21
1
فرحان :
Inakuwa n kwel hii au
2026-08-17 14:32:58
1
Officialdida :
hahahahaha kuna doctor alisema hadi kaashanza kufanana nae 😁
2026-08-16 07:24:52
5
BAZIRIO RENTAL GAMES :
wangu nilifanya juzi nikaambiwa kabana miguu Iv akibana miguu inashilia nn
2026-08-25 16:49:45
1
@miss_fey🦋 :
Mm ni huzuni😓😓
2026-08-15 18:41:54
2
tiffah store :
Uko wp
2026-08-19 20:18:21
1
ummy p🥰🥰 :
me nilienda mwezi iliyopita kupiga nikaambiwa WA kike nikaanza kuchekelea badae naambiwa wakiume hata sielewi jibublipi sahihi namwachia mungu
2026-09-05 17:26:22
0
Rovina Chami :
mimi nliambia kabana miguu kajifcha baada ya dakika moja eti nmeona chululu nkasma siamini
2026-08-18 16:27:48
4
sady jm :
kuonesha jinsia mpaka iwe na mud gan
2026-08-16 17:30:47
2
olivermorris54 :
mara nyingi wakike anajifichaga hata mm alijificha nikaj kujifunguwa kakike
2026-08-16 11:05:44
2
lian :
ATI hii apa sijui kama unaiona😅😅😅😅😅😅
2026-08-16 04:32:25
2
ABUJU BUJU👶🏾😂 :
Ultrasound inaeza ona mtoto anavohema,?🤔
2026-08-20 15:20:07
0
rahma❤️👜🌺🌷💐 :
Mm siamini mwanzo alianza anaficha nikaludia nikaambiwa wakiume nilivyo ludi nikaambiwa wakike ata siamini chochote
2026-08-19 03:53:38
1
To see more videos from user @radiographer_noah, please go to the Tikwm
homepage.