Najaribu kubembeleza nikifikiria labda amekasirika nami atatulia lakini ikawa anablock line yangu mawasiliano na mimi hataki basi nimechoka kumkaribia na niko mbali sana kikazi lakini yeye anataka tu pesa siku nne sasa sijamtltafuta wala kupokea message ya tiktok anatuma sisomi nataka kujua basi kwanzia sasa nimebadikika nataka kujua kama kweli ananipenda ama anapenda tu pesa
2026-09-03 15:42:58
1
@Two tooth_13 :
Actually
2026-08-16 10:16:31
4
THE WORLD WIDE RECRUITMENT :
Haswaaaa
2026-08-16 08:43:39
3
Andrew MK :
umechelewa kunishauri nishaboronga nkabembeleza weeee mwisho malipo Yake nkaachwa
2026-09-25 15:53:04
1
peter Michael :
Definitely
2026-08-16 19:14:07
3
zizuu :
fact
2026-08-29 08:00:24
2
Gardash. :
umenipa funzo, hivi sasa najilinda ili nipate amani.
2026-08-16 09:28:25
5
OMMY :
nko kweny iyo situation
2026-08-17 06:32:34
4
jemoo #001 :
true
2026-09-03 21:03:52
2
Iɓou❕i99ine :
Ukomavu wa fikra💪🏿
2026-08-17 11:00:01
3
Robart Andrea :
Ee
2026-08-17 08:03:30
3
@ryad :
sahihi kabisa 🥹
2026-08-19 17:13:35
1
mido :
ni mm mtupu huyo ::ata nipende vp mtu akizngua cjawah kuw mwepes kulilia penzi
2026-09-02 20:48:51
3
jaliamtengule :
Niliwahi kukimbia sehemu baada ya kuona mimi ndie natakiwa kuomba mapenzi
2026-09-13 19:05:22
2
hassansonjuniour :
2026-08-18 16:12:49
2
Alyoce Kimario :
mm kuna mtu nimeondoka na sijarudi nyuma ukweli nilipenda
2026-08-27 13:11:17
4
hope :
uko sawa sana
2026-08-17 07:40:22
5
D'bro.tz :
good well
2026-08-17 06:47:38
2
Bisuruza juma haruna :
Vizur sana
2026-08-17 04:06:50
2
Mr.Daqar :
nimejishusha sana kwake inatosha ss✊
2026-09-08 07:43:42
1
jackotieno4 :
umenielimisha ikabidi nikufolo
2026-09-08 13:55:09
1
tayson wana man :
msinifundishe ndio mtanichanganya
2026-09-09 11:58:53
1
Anthony shabani :
very nice 💯💯💯💯
2026-08-23 19:25:38
1
To see more videos from user @psychologianyipya, please go to the Tikwm
homepage.