@kali.za.bongo: Mtoto wa Msanii Rayvanny akiwa kwenye Birthday Party ya Naya, mtoto wa Nandy na Billnass , Ukiachana na kuwa na Ulinzi mkali lakini ameonesha anampenda sana Naya
Kali Za Bongo
Region: GB
Saturday 15 August 2026 19:38:24 GMT
Music
Download
Comments
i t's mirrah🥰🦋 :
naya na jaydan ..amara na ollie ...rakeem na sanura 😂😂
2026-08-16 17:42:28
398
Sarah Bukuku :
mi naona harusi inakaribia🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-15 23:57:41
560
sakina onesmo :
naya nae anaringa jamani
2026-08-16 05:33:06
153
vinaaah :
mbn mi najua cku nyingi kama Hawa ni wapenzi
2026-08-17 06:19:32
317
soso 🦋❣💦 :
aposto kuna muujiza😂
2026-08-16 04:04:39
322
Julius@R :
Camera man em mmulike bilnas tuone alivyo muangalia kijana😂😂😂😂😂
2026-08-16 05:46:54
272
@mmy😍❤️ :
jaydan niache uko😁😁😁😁
2026-08-18 10:12:13
78
🌺 happie babe 🌺 :
unaona ilo penzi wengine wote anawapita tu lakin naya kila akipita anamshika ila mapenzi 😅😅
2026-08-16 03:23:24
158
Umfana🥷‼️ :
Dg mzinzi😅
2026-08-16 04:37:51
96
spicevee18 :
Wanapendana mi naona 😂😂
2026-08-16 00:47:11
131
Miss Larah Offi@ll🎀😍 :
Jay atakuja kuwagombanisha naya na Amara jmn🤣🤣🤣
2026-08-16 10:04:17
48
Soft soul 🥰😍❤️ :
like father like son
2026-08-16 06:52:45
35
yasinta :
penzi jipyaa iloooo la baadae
2026-08-16 11:17:34
24
ryam_closet :
Amara anampenda Jayden lakin Jayden anampenda naya Ila naya anamchukulia Jayden kam rafiki tu 🤣🤣🤣
2026-08-19 09:08:48
18
🍎TotoDebrahlastborn❤️❤️🩹 :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa😂😂😂
2026-08-16 23:28:34
13
marry dimples🍏🍭🍬 :
ni yeye sasa ataamua amchukue amara au atoke na naya🤣🤣🥰🤷
2026-08-17 02:51:09
5
lily💚❤️💛 :
harusi tunayo..wow..
2026-08-16 03:55:39
40
Pretty :
waache wapendane ndo ivyo mambo yanaanza taratibu
2026-08-16 02:48:38
73
shaahm cute 🥰 🥰 🌹 :
hila hayaa maisha hadi mtoto mdogo ana bodyguard 😳
2026-08-16 05:38:52
77
Grace💕🦋🦋 :
6/6
2026-08-15 20:18:58
6
Amana cute :
Wanatakana na wataowana
2026-08-16 06:17:49
60
mage mage :
dogo kajichagulia mapema hataki matatizo na mtu
2026-08-16 05:08:13
35
smile girl 👧 :
usije uka shangaa baadae wakawa mume na mke🥰🤣
2026-08-16 13:02:06
8
To see more videos from user @kali.za.bongo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.