@ipmedia_619: Baada ya mke kukosea jamaa akachukua uamuzi wa kumchapa fimbo mikononi ..Je ni sawa kwa mtu mzima kupewa adhabu kama hii?@Coach blue @zerobrainer0

LIM
LIM
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 19:15:48 GMT
83938
1818
962
2322

Music

Download

Comments

teemomy9
Its🦋 tiner🌿❤🫂 :
Dear husband usije ukajalibu ivi ntakushangazaa 😂😂😂😂
2026-08-16 10:24:45
149
prettyishaa219
pretty Ishaa :
linakuchapa na bado badae linasema ikatikie duuh Bora niendelee kua single tuu 😁😁😁
2026-08-16 05:34:54
130
monica.shuma
Monica Shuma :
Aweeeeee uongo bhana my husband achape wanae sio mm
2026-08-16 15:01:38
0
user8283694946098
Mrs kasim :
mumewangu usijaribu hii utajuta🤣🤣🤣
2026-08-16 11:16:17
22
misslove_15
𝐌𝖎𝐬𝐬𝖑𝖔𝖛𝖊🥰 :
hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya unyanyasaji huu
2026-08-16 02:42:47
119
manka_g02
Zuri🥀 :
Bora nimezaliwa Mchagaa mie😇naepuka mengi🙌🙌
2026-08-16 08:09:06
53
mayyahh80
Smayya :
Labda sio genz mm😅😂😂
2026-08-16 04:38:25
31
teeefxufds
faithfully♥︎♡♥︎ :
labda kama kwetu sio Arushaaa
2026-08-16 05:04:08
34
user278102651162
doddo :
sasa camera man
2026-08-16 14:07:21
0
lutesanga
lutesanga :
dear ba mtu don't try this at home
2026-08-16 15:11:43
0
bayte__collection
bayte__collection :
Yani shule nilivumilia hii na kwa ndoa nivumilie viboko labda sio mimi😅😅😅😅😅
2026-08-16 08:38:07
36
khadijeibrahiym
Khadije Ibrahiym :
mi unichapi ivo 😳
2026-08-16 05:14:16
15
thedon.girl
The Don girl :
nitafute pesa, haya yote nimadhara ya umaskini 😢😢🥺
2026-08-16 12:20:07
12
user4881884449768
D :
mr matanila nakupenda ila usijalibu hii nitakupoteza
2026-08-16 11:27:18
5
neema_temba
Neema Temba🇹🇿 :
Asanteee mungu Mimi ni mchaga 😂😂😂😂😂😂
2026-08-16 09:27:45
5
officialwitty25
😍Tie😘 :
nakumbuka nishawah kuchapwa aliyekuwa mme wangu nilikuwa na mimba ya miezi miezi sita nilivimba mapaja na miguu na mikono nikamwambia baba angu mdogo baba angu mzazi alishatangulia mbele za haki baba mdogo akanijibu vumilia tu mtt wangu mwili ulikuwa umevimba vibaya mno siwezi kufanya kazi yeyote nakampgia cm mama angu mzazi nikamwambia mama akasema nenda kituoni wamkamate wamfunze adabu kweli nikachukua boda nilikua nimeogea na rafiki yangu mmoja nakwambia mkeo Saiv anaenda kituoni akampigia baba angu cm akamwambia baba mdogo akanipigia ananiambia rudi nyumbani kwako haraka ukienda kumshitaki usahau kama una ndugu huku baba mdogo anajibu vile pia usahau kama una baba mdogo wako huku aisee nililia sana ck 😭😭 hiyo yaani nilimlilia baba angu mzazi nikamwambia baba mbn mimi napitia mateso yaani kiufupi ni story ndefu sana yaani ngoja tu nikomee hapo
2026-08-16 07:48:47
20
mussagwaya57
Ismailgwaya :
Ila hii haijakaa sawa kwa kweli inabidi kumripoti mamlaka husika ili hatua za kisheria zichukuliwe
2026-08-16 08:18:05
5
maggy.junior5
Maggy Junior 🌸 :
Kabila gani hili nisije nikajichanganya🥹
2026-08-16 12:37:03
9
mrs.abuu05
Mrs Ikram :
mtu kama uyo siku akikosea yeye utamfanyaje
2026-08-16 06:20:30
7
khadijasaid293
dydah :
mh wakati napgwa nimekufa au🤣🤣🤣
2026-08-16 06:22:56
6
muzda205
muzda :
kama hyo ndy ndoa bas bora nikae kwetu
2026-08-16 06:06:46
5
juliethjoseph064
litham :
mim huy 😂😂 sjui nitamfnyje
2026-08-16 10:23:47
0
user58787904935880
zuu kuya🔥🔥🔥❤️🔥 :
jaman hii ni nchi gan
2026-08-16 11:43:50
0
missmimah5
Miss mimah💋 :
🤣🤣🤣na hizi dharau zangu nimejikuta na cheka tu mwee apo majirani wangekuwa wanasimulia mengine mamae.
2026-08-16 13:12:46
1
To see more videos from user @ipmedia_619, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About