mbona sjamuona tena uyu baba jmn 🥺au ndo kasha kufa?
2026-08-16 07:13:57
11
user4039501487673 :
unajuwa leo mafia tu kipindi cha magu ulikaa kimya
2026-08-16 12:04:37
4
Fact :
Hayo ni ya kawaida , lazima wachache wenye maamuzi wawepo katika kila nchi , haiwezekani kila jambo wakashiriki watu wengi halitopata ufumbuzi
2026-08-16 11:01:20
4
Kisiaya Makesen :
kweli yupo haii na cn uwakika kama bado
2026-08-16 09:09:37
5
Erasto Myamba :
kamanda upon kweli
2026-08-16 03:54:05
8
Obed Jacob Rutabila :
THE MATRIX
2026-08-16 01:24:21
4
🐰🐰🐰 :
mungu akupe maisha malefu kakaangu😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
2026-08-15 21:45:19
7
Jacob :
mbona sijui hao wana cheo gan selikarin
2026-08-16 05:46:00
8
Belitha Samwel :
tunatamani sana tena sana tukuone tena
2026-08-16 14:17:40
2
Elegantcloset TZ :
Jamani mmenikumbusha polepole Dar alitufumbua macho
2026-08-17 04:48:16
1
noel_gypsum :
2026-08-16 00:51:37
3
iwen mbepo :
duuu😭😭😭😭
2026-08-16 00:00:03
6
mkama on 🔥 :
nimeumia sana
2026-08-16 11:57:59
3
yussufabeid4 :
Tanzania broo tunajua kila kitu semah tu watu hatuna lakufnyaa mambo yote yanajualikana tuombe uhai na uzimah tu ilah hkoo mbelleni sijui Mungu peekee ndio anaejuaa ilah Mungu wetu sote
2026-08-17 12:14:45
0
kjk mtt w masharubu :
bro kweli umeenda dahh inauma sana
2026-08-16 19:49:24
2
petromgesi :
me naamini upo hai kwa uwezo wa mungu
2026-08-17 12:29:46
2
chamazelafrances@gmail :
kumbe upo
2026-08-16 07:43:59
2
Navona Abely :
jamani hii lmeenda
2026-08-16 10:21:05
2
To see more videos from user @freetanganyika_, please go to the Tikwm
homepage.