@oneminutewithsheikhjamal: Familia ni mtihani, lakini pia ni neema💯🤍tujitahidi kujenga mahusiano mema na ndugu zetu, kusamehe, kuvumiliana na kuunga kizazi. Wazazi wetu wakiwa hai tuwafanyie wema, tuwaheshimu na kuwathamini. Na waliotangulia mbele ya haki, tusiwasahau katika dua zetu🤲🏽 Maisha ni mafupi sana na tusisubiri kupotezana ndipo tujue thamani ya familia. Namuomba Allah atujaalie kuwa wenye kuunga kizazi na kuwafanyia wema wazazi wetu. آمين 🤍 #viralvideo #muslimtiktok #fyp #islamic_video #sheikhjamaludinosman
Na ikiwa mzazi wangu alitangulia mbele ya Haki bila kukuwa muislamu...naeza muombea dua ?
2026-08-16 05:34:11
21
Ayub Bamatraf :
sheikh jamaludeen" Allah akuhifadhi akulipe malipo makubwa Ameen
2026-08-16 03:42:46
36
unknown💞💛 :
sirahisi kuunga kizaza dunia ya sasa hata hao ma amii wana favorites wao
2026-08-16 08:32:23
17
Elelkaaaa :
jazakallahu kheyran Sheikh
2026-08-16 04:33:18
6
Asia Salumu :
Allah akuhifadh
2026-08-17 05:46:05
1
Salim maryush :
amiin amiin
2026-08-16 04:48:41
5
nasra :
Allah awarehemu wazazi wangu ...Awajalie janaah ...
2026-08-17 19:56:55
1
Biggest problem :
Kwa hakika Allah atufahamishe Na atupe subra ya kupendana Kwa kila hali Na hatupe mwisho mwema.....Yaa Allah wahifadhi wazazi wetu Kwa kila hali Na atupe Upendo Daima kwao♥️.
2026-08-17 19:49:01
2
mammas_.bouy :
In sha allah allah atupe moyo wa subra kwa wazazi wetu in sha allah Amiin yarabbiy
2026-08-17 07:32:34
1
𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥𝐡𝐞𝐬𝐡𝐚𝐦🦅 :
hawatutaki shekh tufanyeje..wakiona simu zetu wanaona kero tunawasinya yann shekh..kila mtu afanye mambo yake tu