Maulidi imeanza lini na mbna si wakati wa mtume Ama wakati wa Amir muumin wakwanza haikuwa kuna vitu jamaa lazima watu wakae chini
2026-08-16 03:43:39
16
Abuu Asma :
hii ndio hikma maa shaa ALLAAH.
kuna sheikh huita watu "mijitu ya maulid" kwenye minbar wallaahy. yani unaweza ukatoka hapo masjid kama wewe ni ahlu maulid. hii inaleta matabaka na ni wazi huenda sheikh kama huyu hakatai watu wa maulid wasiingie masjid anayoongoza yeye. subhaana ALLAAH
2026-08-16 02:51:37
32
user5700816210800 :
kwani hawaoni maulidi yasomwa ulimwengu mzima
2026-08-16 03:34:21
6
Muhammad Khatwab :
Ahsanta!
hii ndiyo ni inswaaf na uadilifu unaotakikana
2026-08-16 05:41:06
37
AbuuMohamed :
hakuna khilaf juu maulid usipoteze watu
2026-08-16 08:43:02
10
Ahmed :
Ana zungumza na fikra sio vitabu
2026-08-16 10:26:00
10
muharram :
na wallahi sitoacha maulid mpaka kufa kwangu inshaallah
2026-08-16 19:39:15
6
jillo Komora :
sheikh Yusuf Abdi naona umeyachongoa vizuri 👍👍
2026-08-16 03:02:20
10
Kea Juma :
uongo mtupu
2026-08-16 08:25:21
6
الزبير ابو عبد الله :
2. Wakati ule ukiwaraddi uliegemea dalili gani? Na sahii ni dalili gani zilizokufanya urudi nyuma?
2026-08-16 14:05:49
5
sana weeh :
sheikh yusuf na sheikh muhammad muogopeni Allah na muache kufwata hawaa za dunia
2026-08-16 18:22:23
6
ImaamAlmukhtar :
ما شاء الله تبارك الله
كلام سليم
بارك الله فيكم
2026-08-16 04:42:19
21
🔸619 🫅👑 :
sheikh mbona kama anavutia kwake. atupe hizo qauli za imaam's. hapo ndo tutamuelewa.
2026-08-16 03:29:09
5
Ismail Bwana :
itakuja vp ikhtilafu bila dalili
2026-08-16 07:06:47
6
ابليتني بالعشق ثم تركتني💔 :
nahii ndio maana ya Elimu Shukran Sana sheikh Mungu atuongoze sote katika kutafuta radhi zake
2026-08-16 05:41:23
7
Kalela Online Tv :
sheikh Muhammad bahero sheikh Yusuf abd Allah awalipe kher nyingi Sana ni walinganizi WA mfano Bora duniani
2026-08-16 04:27:29
8
Ausat mwangi :
Wallahi hii ndio inswaaf
2026-08-16 01:01:58
5
AbuuMohamed :
aya na hadith na kauli za wanazuoni ziko nyinyi za kukataza mtu kuzusha katika dini.
2026-08-16 11:49:45
2
Ahmed Sh. :
Yusuf abdi ameacha kuimba au bado anaendelea kuimba ???
2026-08-16 20:12:52
0
𝐚𝐛𝐮 𝐚𝐤𝐫𝐚𝐦 𝐬𝐚𝐚𝐝𝐢𝐲 :
taja jina la vitabu tukafungue na ukurasa wapi ina ikhtilaf
2026-08-17 12:13:24
4
Muzamilali Hassan :
صلو على النبي
2026-08-16 18:59:08
2
don173 :
shida ya kutaka kupendwa na kila mtu
2026-08-16 19:34:50
0
abdulfatahissa1 :
shida ya maulidi zaleo watu wacheza na kuruka lakini maulidi kama maulidi Mimi Sina shaka kwakweli
2026-08-16 12:18:11
3
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm
homepage.