@ali_wisdom: “Ni mwongo anayesema maisha hayamsubiri mtu… wakati mwingine mtu mmoja akiondoka, sio moyo tu unaoumia, bali hata vitu ulivyokuwa ukivipenda vinaanza kupoteza maana. Maisha yanaendelea, lakini si kwa ile ladha uliyokuwa ukiijua zamani.” 💔 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou #ali_wisdom