@k2putin01: Imejiposti😏#fyp#creatorsearchinsights

Call_me_k2putin🥷🏽
Call_me_k2putin🥷🏽
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 22:22:58 GMT
41751
1137
91
114

Music

Download

Comments

quizo.outfit
Quizo outfit :
Free pipitida 😂
2026-08-16 02:36:06
6
sallhaa46
binadamu wabaya🙌 :
😂😂😂sasa mbona machozi hayatoki mwenetu
2026-08-16 03:08:10
21
user7718153395796
💫💫Nairahjaneth💫💫 :
duuuu polise achen izooo bhana tz imekuajeee
2026-08-16 08:27:39
0
mrs.samiri.one
UNIQUE 💕 :
Kweli kabisaaa raisi asimamie simu yako😂😂
2026-08-16 10:08:12
8
74catherine
Cathe❤️🦋 :
nimelia juz na mim cm yangu wameiba jamaniiiiiiiiii
2026-08-16 00:51:26
10
peach_queen_59
✨ it's me❤️📌 :
Na mapolisi wanapenda simu za watu kweli ata kwenye ajari wanachukua simu za marehemu na ukifatilia wanasema ipo kwenye uchunguzi
2026-08-16 08:22:53
3
..naah1
..naah1 :
Ila K2 😂😂😂
2026-08-15 22:38:07
11
marydiana53
mary❤️ :
ila sio vizur kwann wamchukulie sm yak
2026-08-16 13:28:25
3
glowcosmetics225
glowcosmetics225 :
Msioneshe mafanikio yenuu jmn watu wanavisababu sana pole
2026-08-16 07:19:19
6
user9112618140161
Grace raph :
nimekuja kugundua police ni matapeli😂😂😂😂😂
2026-08-16 17:43:59
2
user21838142116
user21838142116 :
pole kipze
2026-08-16 01:57:52
2
my85903
chioma wa D😘 :
maisha hayana usawa kabisa mtu akiishi maisha yake wanamfatilia akiwa masikin wanamcheka muachen pipi wawatu
2026-08-16 04:11:20
3
kadadaa77
Kadadaa♥️🫂 :
Jmnn 💔💔💔mi pia bila babaangu kuingilia ingepoteaaaaaa😆😆😆pole dear
2026-08-16 08:41:36
1
setup_username0
💕Mary da cute💕 :
Polis ni wez wanaovaa nguo za serikali😂
2026-08-16 18:22:24
1
maurie119
🌹🌹🎂Reen💓💓💓 :
hii nchi haina haki
2026-08-16 08:08:24
1
queenofheaven268
MillenMimah🌎🦋 :
Helaaa unapataaa wap mwanetu 😅😅😅s walisem watakufatiliaaa s unaonaaa sasa apo umessmaj rais 😂🔥
2026-08-16 08:17:18
6
tatu.malongo
Tatu Malongo :
jamani muogopeni mungu machozi hayo hayamwagiki bulee mungu atajibu🙏🙏
2026-08-17 02:38:45
0
witness.uisso
witness uisso :
simu yako inahusianaje jmn
2026-08-17 05:07:22
0
asha.ramadhani560
Ashanti Tz🇹🇿 :
So vizur wamwachie dada wawatu simu yake
2026-08-17 23:29:02
0
mumgodwill
Mum Godwill :
yaaan watu wanaibia serikal hawachunguzwi huyu mnamchunguza nn sas
2026-08-16 18:09:05
0
kimdori.og
kimdori🤪og🦋toto💞la🥂mama :
imenium sana
2026-08-17 05:47:11
0
reyrehema696
reyrehema696 :
wasikup hiy sm farah we
2026-08-17 10:16:28
0
officialkidoti001
kidoti :
kwann wamuulize hela anapata wapi kwann yan wale wanaomwaga pombe na pesa kwenye band nani washawauliza wanapotoa hela hii serekali ya Tz yakijinga sn wanafatilia mambo yakijinga watu wanapotea watu wanakufa hakuna chamaana mnachosema kaz kusumbua watu wanaoish kihalali inakera bwana
2026-08-16 19:13:51
0
sally.cute829
Sally cute🌹 :
Tunaoskia usimtoee jamaniii tujuane😁😂
2026-08-16 21:19:24
0
careenemmanuel14
careenemmanuel14 :
Yaan ndoman nikiwaona police nachukia san
2026-08-16 06:57:47
0
To see more videos from user @k2putin01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About