@mc.rajuh: #creatorsearchinsights #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #tuktokviral #tiktokfunnyvideos @Babygurl yuuh 🛍️ @Mandanda gobo👊 @AGGY_SIPE Jifunze nasi

Mc Rajuh
Mc Rajuh
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 04:18:39 GMT
757990
43340
1752
1973

Music

Download

Comments

derickdenice
@de nice :
kumpa mama nafasi ya kuishi na mkeo ni njia bora ya kumpima mke bora💪✍️
2026-08-18 04:48:50
83
manager_255
MANAGER ARDHI MTAJI :
labda sio mama yangu😢 watakuja kunitoa poris
2026-08-17 10:46:27
69
babrapaul0
Babra Paul :
Wewe ulie na mama mtunze sana mama yako na usikubali chchte kimpate mama yako. R.I.P mama yangu🥺
2026-08-16 08:52:37
436
p_miwani_brand
p miwani brand :
content nzuri sana ila jamaa Angefokafoka sauti kidogo ili inogee zaidii
2026-08-16 17:37:40
35
lemamolelilemamol
lemamolelilemamoln :
kweli inauma sana
2026-08-16 05:42:24
6
aunty.g54
aunty G :
uwez kuigiza roho mbay wewe unaroh y uruma
2026-08-16 17:55:46
9
mayamoh_iam
Mayamoh-iam :
mmezidisha, hakuna kitu km hicho
2026-08-16 15:22:20
7
stamphord2
Justin stamphord :
haya mamb nimewahi kuyaona nyumba moj hv
2026-08-17 12:17:36
11
observer_philosopher
Observer :
Yaani umfanye hivo mamangu alafu nikufukuze kabla sijakutoa ngeu? aaa labda siyo mimi. Yaani lazima kwanza uzime kwanza ndo uondoke
2026-08-19 20:42:12
7
judson.masoloboy
#Judson Masol-Boy👉🇨🇩 :
mume mwema ndohuyo Sasa, ongera sana Bro 👍♥️
2026-08-16 16:19:05
12
sekelajoery
Sekela Joery :
hakika kaka haya mambo yapo japo wewe umeigiza
2026-08-18 04:56:22
9
josephmakoye10
Joseph Makoye :
lakini kweli wake zetu wanatutesea ndugu zetu ila wakituambia tunakua wakaidi kweli. hakuna kama mama mjueh
2026-08-16 16:25:45
36
bakora_jr
bakora🍀_jr👿👿💨 :
content hii inazungumzia kinachoendelea katika jamii zetu 😭😭
2026-08-18 21:36:37
5
akilinukta29
Travis. G.Comics 😂😁😆 :
daah mbn mm nlikua naenda segerea bila vigezo vovyote
2026-08-16 07:05:28
5
user9463623537124
son jr :
siwezi kukuacha kilahis hivyo alipo nitoa mama yangu najua mimi na mungu wangu
2026-08-16 12:22:39
17
user9975261479529
anitha🥰 :
Yani hii imeniliza sana!! wanawake wenye hizo tabia wapo wengi saana
2026-08-23 05:59:46
5
user9377149116011
Mama Nasra :
aaaaah achananae huyo sio bibi kk
2026-08-16 17:56:57
2
sichana.simai.mah
Sichana Simai Mahmoud :
Wanaume Kwa kuwakatalia wake zao bila ya ushuhuda
2026-08-16 15:04:30
8
psuccess16
Broken Soul🚫📌 :
hii content imekuwa over Acting😅hat kam mama mkwe anapitia changamoto apo mmezidishaaaa😅😅
2026-08-16 11:34:12
5
user1849574962870
Ally aisha :
Nampenda sana mamamkwe wangu kama ninavyooo mpenda mamangu 🥰🥰🥰 Allah akupe maisha malefu mamangu pia na mamamkwe wangu nawapendaa sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-16 15:25:51
7
user5055569955734
kelvin.tz :
nimeumia kama vile ni ya kweli Yan dah😭😭😭
2026-08-16 06:27:32
17
user659976153094
HASSAN RASHIDY :
🫱nakupomgeza sanaaaa huo ndo wanaume 🙌
2026-08-16 19:45:39
6
user9518149805023
user9518149805023 DEKO.ND :
SISI TUNA KAKA ETU MKEWE HAPENDI NDUGU WA MME ILA KAKA ETU HATUELEWI TUMEAMUA KUKAUSHA TU FAMILIA NYINGI SANA NDUG WA MUME WANATESEKA SANA 💯
2026-08-17 22:01:24
6
hawa.yohana1
Hawa Yohana :
kwa hiyo huwezi kumpiga hata vibao kweli daaaaaah
2026-08-16 12:15:53
5
robertkatete2
ROBERT KATETE :
Thamani ya mama ,tumboni miezi 9 malezi kuumwa shida mbalimbali alafu hivyo yaani nimeumia kupitaaelezo
2026-08-16 11:46:02
6
To see more videos from user @mc.rajuh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About