ana kazi nyingi kuliko rais hivi alikuwa ana mchukuliaje😂😂😂magufuli
2026-08-16 06:36:20
8
linelly linelly :
ila kuna muda jpm alikuwa anazingua hao ni watu wazima pia wanafamilia
2026-08-24 17:53:21
2
kazi na utuu :
kayakanyaga
2026-08-16 12:17:26
4
salumsudan :
uwezo mdogo
2026-08-16 04:39:11
3
Frank OG :
nimpenda jpm alivyo mjib mm uwez kunijibu ivyi
2026-08-23 11:57:08
2
kido on point🎧 :
𝙱𝙸𝙶 𝙿𝙾𝙸𝙽𝚃 𝙾𝙽 𝙿𝙾𝙸𝙽𝚃 ✊🇹🇿
𝚖𝚊𝚐𝚞𝚏𝚞𝚕𝚒
2026-08-17 06:01:43
1
laden rashe :
ubabe tu mbona kasema hakumbuki
2026-08-16 12:07:02
2
mndelage :
kipindi icho heshima ilitawala sana 🙏🙏💪💪
2026-08-22 19:02:42
2
Eliguard Thomas :
hapa mzee ali over react tu ila mama alikuwa mkweli na wasiwasi wa kujitetea akasema hiyo kauli ya kuwa ana idara nyingi ila alikuwa sahihi huwezi kujua kila kitu hata hapo mzee alikuja na hiyo idea ya road fund sio kwa sababu alikuwa anajua sana ni sababu alipewa desa tayar
2026-08-16 12:54:47
1
Juma Kiboko :
idara nyingi ndio nin
2026-08-18 11:29:52
2
OKRINI ADAMSONI :
huwezi kunijibu hivyo Mimi😭
2026-08-24 12:35:24
1
Yasini mshale :
ukishakua mkurugenzi imamaanisha unatumiki idara nyingi lakini kila ki2 lazima ujue zingata mkurugenzi ndo umtetee uyo mama
2026-08-16 18:57:25
3
Abdallah DJ :
duh huyu mzeeee jau
2026-08-16 16:42:58
0
user063012 :
una idara nying kumzidi Rais mama!!??
2026-08-20 10:30:15
0
COMANDO BOY :
sas kama yeye anaidara nyingi na uyo rais sas
2026-08-22 14:14:04
2
kazi na utuu :
Ana idara nyingi maama majukumu apunguziwe sio kwaiyo anakazi nyingi kushinda rais
2026-08-16 12:17:20
2
Fafa Lovenes :
muwe ☺️
2026-08-16 17:50:06
0
Fredric halla :
ivikunamtu atokea mamauyu kweli
2026-08-17 17:34:04
1
Paulo Patrick Sagati :
inabidi aulizwe wewe ni kabila gani
2026-08-19 10:29:26
0
pita mgogo segara kwetu :
eti anabishana na rais huyu mama vp
2026-08-22 20:22:11
2
cevookemzone :
noma
2026-08-17 11:53:12
0
allykid :
alimuonea tu inshu alikuwa anataka kumjibu mbunge wa chadema bukoba wakatare alisema kajenga barabara sasa alitaka iyo idadi kuwa serekali ndo imejenga si mbunge wa chadema
2026-08-18 18:53:39
2
Ibrah :
Uyu Mama hakumaliza masaa 24 ofisini😂😂 alivomaliza kutoa ayo majibu jioni yake ikatoka taarifa ya msigwa wakamla kichwa😂 alikua DED wa bukoba kama sikosei🙌
2026-08-24 06:45:03
2
To see more videos from user @nturamaster, please go to the Tikwm
homepage.