Mie nimekuwa nalumbana na mke wangu zaidi ya miaka 18 alikua anataka nyumba mie nilikua namwambia hapana tuweke mzunguko wa fedha kwanza ndio matunda ya uwekezaji ndio tujenge basi akasusa akaniacha tu nilivyo sasa hivi nimenunua mahala penye nafasi kabisa anachekelea mpaka basi.Mwanamke anataka leo sio oooo kesho hayo hakubali
2026-08-17 04:57:23
24
Love🌹 :
ukitafut nae kuni utaota nae moto 'UONGO'
2026-08-18 16:39:32
7
shinobi :
me safari ya mapambano ilinifikisha sinza
2026-08-17 02:45:31
10
Alfred Vincent🦣 :
hili suala la subra kwa mwanamke, ni changamoto sana Huwa anataka kuona matokeo ya haraka, kuweni na subra wanaume tunaona mbali..🙏✍️✍️✍️
2026-08-21 08:23:11
6
wiseman :
kwa ambao ni wafanyabiashara cash flow ni kitu cha msingi zaidi kuliko haraka ya kukamilisha kitu ,just focus na cash flow yako kwanza kujenga sio kazi.
2026-08-19 06:22:08
4
Mungu_fundi :
Hiii imfikie Dear wife Na wanangu Crala&Innocent
2026-08-21 10:36:03
2
Mwampefo Inno :
dat good zembwela
2026-08-18 12:20:15
2
GENGE LA VICHAA :
Tupunguze kuonga wanaume
2026-08-20 20:25:41
6
user2998192873887 :
Hapa kaka Zembwela umenena kama mpambanaji aliye mstari wa mbele ..HESHIMA KWAKO KAKA.
2026-08-25 20:24:58
1
King salo :
kweli kabsa
2026-08-17 18:57:41
3
Transpoter :
for sure
2026-08-19 18:49:42
1
Mona :
nilitafut pesa true luv ikamponyoka
2026-08-19 02:28:33
2
Be_yourself✌️ :
Mungu wetu halali Wala haendi likizo
2026-08-20 11:56:04
2
nicksoncontroller6 :
aaaah sio kwa hivi vidada
2026-08-18 15:49:13
3
Wilson Kabula :
2p0pamoja aswaah hapo,😁😁
2026-08-20 11:18:57
2
mkulu ntisi :
kk unajua
2026-08-17 13:41:57
2
Mungu_fundi :
Broo huwa unaongea point sana
2026-08-21 10:35:30
1
Officiall@2030💸💸💸 :
ni mm huyo kabisa hakika
2026-08-16 08:23:20
6
Young Legend 🦅 :
Facts
2026-08-18 13:36:48
2
Athuman :
hapo wanawake hawaelewi wakiambiwa itakua
2026-08-17 20:11:52
4
Abuu🍁 :
Me siwezi tafuta hela na true love kwa wakati mmoja hapo kimoja lazima nishindwe.😁💔
2026-08-18 16:52:12
3
Salim :
oyaa Salma hutoamini😁😁😁
2026-08-16 21:19:10
2
emanuelgasper3 :
right
2026-08-16 22:29:11
1
Msolid :
mmeskia salma alivo itikaa apo 😂🤣 rudia kuskiliza adi mwisho, oyaa salma
2026-08-16 16:37:02
3
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm
homepage.