@mozaicocoacheslimited: JUMAPILI YENYE BARAKA NA SAFARI MPYA ZA DAR - ARUSHA - DAR! 🙏✨🚌 Tunawatakia Jumapili yenye amani, furaha, na baraka tele kutoka Mozaico Coaches! 🕊️✨ Tukiianza wiki mpya, tunayo furaha kukuletea mabasi yetu mapya na ya kisasa kabisa katika ruti ya Arusha! Tumekuandalia viti vya VIP, hewa mwanana, na utulivu wa hali ya juu ili kila safari yako iwe yenye amani na baraka. 👑🛋️❄️ Weka kiti chako leo na usafiri kistaa na The Ultimate Comfort Leader! 💎 📲 Kukata Tiketi / Mawasiliano: • 🇰🇪 📞 Kenya: +254 738 821 122 • 🇹🇿 📞 Tanzania: +255 662 238 757 • 🇺🇬 📞 Uganda: +256 749 358 809 • 💬 WhatsApp: +254 103 702 528 | +254 738 821 122 | +255 797 107 901 | +256 702 567 354 #BlessedSunday #JumapiliYenyeBaraka #TanzaniaTravel #TheUltimateComfortLeader #MozaicoCoaches