nakwambia tangu nikujue!!!! Mimi sasa nawaloga walioniloga.....
2026-08-16 17:15:34
10
josephineatieno71 :
Prophet Rodgers, mashauri yako ni sure bet
2026-08-16 17:10:36
2
Black woman :
kwanza lazima nijiangalie kwenye kioo bila nguo ndio nilale😅
2026-08-16 18:24:19
4
not here :
kweli kabisa iiyonibongo ukutuliposisi kilasehemu ni kiyo mlango kiyo garderobe kiyo Bafherom yakokiyo 🥰🥰 Achaean nawo .
2026-08-17 02:46:41
1
chepkemoi Susan :
😂🤣😂 Ameeeeeeeeeeeeeen
2026-08-16 08:51:59
1
Andrew Sifuna :
watu wanasema wewe ni mganga
2026-08-16 07:02:24
0
amor :
huwezi amini siku Moja amka saa 8 ghafla usiku angalia kioo utaona vitu ambavyo huajawahi ona energy yakioo unayoitumia kwa wema Kuna wenzio wanaitumia kwa ubaya niamini mimi
2026-08-16 07:50:08
3
niyonkuru Aline :
kio hakileti majini priphet mimi nimejionea kwa ushahuri wako nimeona muujiza kupitiya kio
2026-08-16 12:43:05
2
sarafina712 :
sijawai funika na sijawai ona jini lolote usiku wala mchana.
2026-08-16 12:21:17
4
Phatina Mbalaga :
hata mm najua ivyo Sasa sijui minimchawi man nisipo funika naota ndoto mbaya