@nyumbaniartgroup: Kali Kifo hakitumi ujumbe kabla ya kufika… leo tunawaaga wengine, kesho huenda wakawa wanatuaga sisi. 🥺 Tujitayarishe kabla muda haujaisha. Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema. 🤲🏽#KumbukaKifo #MwishoMwema #MaishaYaDunia #Mauti #TikTokTanzania
Wallahi siku ngumu sana Hii 😭Yaa Allah tujaalie Mwema sisi Waja wako 😭🤲
2026-08-17 08:03:08
132
ashanassoro74 :
mungu atusamehe na atujalilie mwisho mwema
2026-08-17 14:17:34
30
Kipenzi cha mtu ♥️♥️💕 :
😭😭😭😭😭 kweli kabisa kaka kila nafs itaonja umaut jmn Toba jaman Toba mungu wangu nipe mwisho mwema mm na unifanyie wepesi niwe miongoni mwa waja wako wema 😭😭😭😭😭
2026-08-17 03:05:37
46
mwana.swalehe5 :
Me nawaza iyo siku nitakvyotembelewa nauyu sijuw itakua gizani sijuw itakua kwenye mwanga mungu anipe mwisho mwema 🙏🙏
2026-08-17 10:27:56
36
Kassim Leila :
May Allah grant us good ending
2026-08-30 13:47:53
5
Fightergirl🧕🧚♀️ :
wallah nmeogopa😭 ya rabby nijaalie niwe miongn mwa wenye kutolewa roho kwa upole
2026-08-19 09:11:48
21
Aisha Saleh :
Allah atupe mwisho mwema
2026-08-17 14:04:31
11
ramadhani :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-08-17 14:02:41
5
swaumu :
Allah atuswamehe makosa yetu na atupe mwisho mwema
2026-08-17 03:31:00
11
💏❤..sâ prëmïēre dæmē🥰😃😃 :
qu,Allah nous pardon et nous donne une bonne fin mina
2026-08-29 23:05:38
2
Munat💞💕💋💌💖💝❤️🩹💯🙏🙏 :
May Allah grant us good ending🤲🤲🤲🙏
2026-08-31 12:57:18
6
Maryam Usman :
May Allah grant us good ending
2026-08-30 14:02:04
2
🦋❤️T.H.U.M.A.B.A.B.Y🦋❤️ :
duuh mmi nikiona hivi wally nasema je mmi sku yngu itakuwaje 😭😭💔,Allah atupe mwisho mwema inshallah na atusamehe makosa ytu🥹😭😭
2026-08-21 04:29:43
6
sherry💞💕 :
mungu wangu mungu wangu, acha niswali magharib kwa wakat naweza kufa et
2026-08-17 15:54:33
7
LusaBoyOfficial😎 :
mungu atujaalie mwisho mwema
2026-08-16 08:45:19
6
user52307077932807 :
Yaarabi tunakuomba utujaalie mwisho uliyokuwa mwema 🙏🙏🙏🙏🤲🤲🙏
2026-08-17 13:15:37
6
GandiVisuals :
mmesahau kweny kuita Hassan 😅 ila ile movie noma 🔥🔥
2026-08-17 10:36:55
5
aysha :
masha allah allah awalipe kheri kwa ukumbusho mzr
2026-08-16 16:04:05
22
mwajey❤️❣️ :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-08-17 08:53:40
12
To see more videos from user @nyumbaniartgroup, please go to the Tikwm
homepage.