@vantaciousching: #duet #tanzaniantiktok🇹🇿 #chugacore #🕋📿🕌regay_islam🌼🦋🤲

Vantacious Ching
Vantacious Ching
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 07:10:48 GMT
24132
562
471
20

Music

Download

Comments

ahmmu_
Hamid :
inna maal úsri yusraa 🫰🤗 just keep on holding on and everything will be fine
2026-10-06 21:58:39
0
user7661901834103
lssa mazurii :
pole nd maixh
2026-10-07 17:08:08
0
mongiomarysemhale
Mongi Omary Semhale :
kwanini umewaza hivyo mpendwa?
2026-08-16 08:37:52
1
hans_mango
H :
Pole sana kwa yaliyokusibu Mpaka Kuwa na Mawazo Hayo Ya Kishetan, Kwanza Mlaani Shetani kemea hayo Mawazo. Pili, nakushauri USIKATE TAMAA KTK JAMBO LAKO LOLOTE LILE. Fanya Maombi Kwa Imani Yako, Mwambie Mungu Hitaji Lako Akusaidie, Ulie na Mungu kwa Dhati Kabisa atakutendea na Usichoke Kuomba Unaweza Ukaomba Asikijibu kwa Wakati. Mungu amekibariki watoto, Usitake Kuwaachia Watu wanao. Mungu Akubariki
2026-10-01 15:05:38
1
haujahauja2
haujahauja2 :
Na kama shida ni mapenzi dadangu, ndio tatizo la watu asilimia tisini dunia nzima.
2026-09-26 17:22:03
1
primeconnection1
PrimeConectionZNZ :
naomba nichek inbox plz
2026-08-18 09:23:01
1
him386005
HIM :
What's wrong?? let me comfort you
2026-08-23 18:31:47
1
blacklion7864
blacklion :
ucjali, muungu atawapa rizki zao..
2026-09-04 10:55:00
1
hazila94
shamila :
😭😭😭😭 Tupo wengi Jamani mm nime dhima hata wasapu ili niwe kidongo na homa mm KIla siku kilio acha 😭😭😭😭
2026-08-22 10:46:32
2
d.heaven.444
D heaven 444 :
never give up
2026-08-18 18:46:04
1
sss216415
SSS :
,what happened
2026-08-29 09:27:24
1
userramwendohamisi
Ramweshy :
lete dhikri n swalia mtume sana mungu atakufanyia wepesi
2026-09-06 16:00:24
2
ayoub.mkangama1
Ayoub Mkangama :
tatizo nini haswaa
2026-08-24 07:57:36
1
user4694051020761
Genious Refrigetion :
una tatizo gan
2026-09-14 13:19:06
0
mahmoudomar8136
prince kamarah :
hakika kila penye uzito na wepesi usikate tamaa mkumbuke na mtegemee Allah katika kila unalopitia
2026-08-24 07:46:03
1
sabyclassicmakeup
saby classic makeup 💄 💋❤️💃 :
pole kipenz changu
2026-08-22 14:54:41
1
omarsimba72
Babakailah :
Dear usifike huko mueke Allah mbele na umuombe unachotaka haswa kama waswali thahajud inshaallah
2026-08-23 22:18:41
1
salim.kaka12
kaka salim :
sorry wallah subra na pia mswalie mtume
2026-08-23 19:34:08
1
madea.og
Madea Og :
Pole sana my dada
2026-08-24 08:04:03
1
hamisi9243
hamisi :
Naomba uje ibx inshaallah
2026-08-23 04:27:42
1
ponda9623
ponda :
Kawaida ya changamoto Mwisho ni kufanikiwa 😥😥😥 Allah knows much
2026-08-28 14:49:53
1
user9704430254768
samia khalifa :
Allah akutie nguv kwa unayoyapitia na akufanyie wepes utimize hitaj la moy wako amiin
2026-08-25 09:44:10
1
hamad.mohammed08
Hamad Mohammed :
kwann dada
2026-08-23 23:12:28
1
ramadhanibilali48
Ramadhani Bilali :
Kuna Allah uskate tamaa
2026-08-23 15:34:42
1
user9008204934932
user9008204934932 :
pole dada, Allah atafungua njia inshallah
2026-08-22 09:32:23
1
To see more videos from user @vantaciousching, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About