@lilymediaa: kama vipi hama wewe simba ila yeye yupo sana hapo msimbazi😄🤣 #selemanimwalimu #simbasc #azizik #videotrendignow #feisal

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 07:21:08 GMT
110493
3334
668
518

Music

Download

Comments

shedvankapilimajr3
shedyvan kapilima jr :
mbna kama tap tap screen
2026-08-18 10:24:04
7
abduls3045
Abduls304 :
Ishia huko huko tusikuone yanga💚💚
2026-08-16 08:47:05
378
pad0944
paulmponzi :
tupo na wew mpaka mashabiki wenzako wawe Kama wew
2026-08-16 10:52:01
136
red.eyes470
red eyes :
kwan wenye simba yao wanasemaje 😂😂😂😂
2026-08-16 08:36:20
100
ronnie0067
icon 🌎.. :
nlkua naangalia offline ila nmewasha data nisome comment..😂😂
2026-08-17 20:32:34
0
liwalonaliwe75
gamba :
sasa kwanini wanasimba wenzio wakuchukie nawakati ww mwenzao?😀
2026-08-16 09:14:45
70
ramadhanjumasheka
manyika :
tutaku fatiliya
2026-08-18 12:49:36
0
zamdikikula459
zabriely official :
weee so mwenzetu umelefti group
2026-08-18 10:51:42
0
ommy518
Ommy :
wana simb mushamfny nn ten huy
2026-08-18 18:37:11
0
sahancharlessahan
speed boy tzee360# :
duh😁 Qwishaa mm 😂
2026-08-18 13:49:44
0
nurudeen248
NURDEEN$ :
Usiame kaa huko huko huku yanga tumejaa
2026-08-16 10:26:51
37
user3147066338043
Elliboi@ :
Af Yanga wanashangaa Simba kujisaidia Jangwani😂
2026-08-16 08:01:18
36
chatu889
msema kweli :
naongea kwa niaba ya ahmedi ally.. wana simba hatukutaki dada amia yanga
2026-08-17 18:35:06
8
johnmasala19998
John Masala778 :
hii SGR mbona kama inaenda zanzibar
2026-08-16 09:57:52
22
mligogodfrey
Man from the moon :
Simba tunafungwa kwa mengi🙌
2026-08-16 16:21:08
7
monastil99
mussa hub :
Simba mbona mnaitenga damu yenu
2026-08-16 10:09:00
12
nyamihasisihaka
nyamihasisihaka :
Pepsi haina Gesi
2026-08-16 10:15:58
22
wamkoa.tanga
wamkoa tanga :
ndomana tunafungwa nachoka mm
2026-08-16 11:26:30
10
chirume300
Chirume :
MTAFUNGWA SANA
2026-08-16 08:29:34
21
jay.son.tz.120
Jay son tz 120 :
ndo man tunafungwa kumbe wenzetu wanapigwa miti
2026-08-16 10:12:53
11
jameseliud38
*Jay_wrld🌍 :
Hao nd mashabik wa simba ninao wajua mm☺️
2026-08-16 12:50:52
12
user5369433887672
JJ :
ndio maana hali ni mbaya kwa simba,kwa hali kama hiyo
2026-08-16 08:45:29
10
matipthetop09
Matip the top 🎩 :
simba haina ubingwaa
2026-08-16 08:42:32
7
elly.sky4
ELLY SKY :
Mmh mbona kama hii movie ishatafsiliwa
2026-08-17 16:14:18
1
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About