Wallah wee sheikh mie shuhuda wako kabisaa mie kila nikigusa tuu maelezo yako nafanikiwa sanaaaaa mungu akuweke
2026-08-16 14:42:31
3
IMMUDJ :
Subra tu ndo inayotakiwa haimanishi kwamba ukiomba leo utapewa leo, kuna siri kubwa hapo kwa Muumba
2026-08-17 12:07:20
2
ummumuhammad :
tupe muendelezooo tupate njia ya kutoka katika hili
2026-08-16 18:36:51
1
user6203352336090 :
Allah hailalahu wahadahulasharikalah lahulumulk alyihamdu wahuala kulishainkadir
2026-08-17 05:15:13
0
toptaun miusic stor :
Mimi namshukuru mungu Kila ninacho omba kwa kufwata taratibu kinatimia
2026-08-17 16:37:00
0
mamruzy :
mimibnikianza tu adhkar napata usingizi mzito.
2026-08-16 15:15:07
0
saed ameer :
Shekhe hapo kwenye uchawi wa kuzuia adhkar zisiende juu hapo kunahitajia ufafanuzi zaidi. Na kama hilo ni kweli basi hayo yapo kinyume na mafundisho ya Uislamu kabisaaa
2026-08-16 12:33:32
3
spea za bajaji :
hapo kwenye uchawi watu wamehangaika wamepoteza hela kwa mashekhe na waganga bado hawajafanikiwa
2026-08-16 14:46:24
1
nasra :
🥰🥰🥰
2026-08-16 16:45:12
0
Zaynab Khalid :
🥰
2026-08-16 10:01:29
0
To see more videos from user @riyadhtvonlineznz, please go to the Tikwm
homepage.