@muaydi3655678: Neno samahan ni dogo ila linamaan kubwa

muayd🧸💜
muayd🧸💜
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 07:38:06 GMT
52007
3351
142
128

Music

Download

Comments

zuuubaby14
Zulekha :
Mbona kma mimi hiiii
2026-08-16 11:43:00
16
sharifaznz
Sharifa/lifestyle/beauty/food :
Anachekesha kama sio kaka ako😂😂😂
2026-08-16 18:41:37
32
musfire11
musfire :
Uko story ambazo zipo kweny maisha ya kwely wallahi
2026-08-16 10:45:55
22
stranger95082
Stranger :
Tamaa mbaya sana. Ila katika ushauri washauri wafunge ndoa.
2026-08-16 17:05:57
7
mxomll3y_ll3y
MuY@M. boy :
Iyo leo iyoooooooooooooooooooo🤣so ya kucheka lkn
2026-08-16 09:57:59
8
rayyan.iyyan53
Rayyan Iyyan :
mbn mimi😳
2026-09-28 04:11:47
0
mmaazlyeen
@ifa_sheking :
Allaha anisamehe kwa kila kituu🙏🙏
2026-08-16 10:49:41
12
shemn51
shemn@ :
mtihani vooh kwakwelly akaaah
2026-08-16 08:31:04
5
yyma07
@hudhayma0 :
il baadhi ya wanawake wenzetu wanawezaje lkn 🙌🙌🙌🥹🥹🥹
2026-08-18 03:35:06
1
fatmazubeir7
fatmazubeir7 :
Ndo Akome na yeye 😂😂😂
2026-08-29 16:17:53
0
user074062950713
user28449392931 :
jamani wadada wenzangu tutosheke na tukipatacho
2026-08-16 09:22:27
5
saidat.mwinyi
SD :
tamaa sio nzuri
2026-08-16 07:56:23
3
raiye69
𝐑✭𝐘❥↓𝐘↑𝐍↗𝐀↙ :
Dada nakuheshimu sana naomba no ya huyo mw.me nimdasi mie 😳😳😳
2026-08-17 06:06:42
0
raa.cute30
raa cute 😍 :
mambo kama ayo ya kawaid tu 😂😂😂
2026-08-26 16:11:00
0
mr..shadow183
مصطفى.🇲🇷🇹🇿 :
dada isimulie na story yangu nimebakwa na bodaboda mitaa ya kianga Chetan usiku sa5
2026-08-18 13:49:54
2
mrs_afellay
Salma chama💞 :
watu wanapata bahati jamani🥹
2026-08-16 18:14:33
2
user3507996123294r
Rukaiyya henna artist 🌿🌿🌿 :
tamaa mbaya
2026-08-16 09:13:10
5
mohammed36920
Mohammed :
dah wanawake jaman 😭😭
2026-08-24 06:30:07
1
mr_kitukuu_cha_zanzibar
MR KITUKUUU CHA ZANZIBAR :
wallah nikiona mambo km hayo naumia sana maan nakumbuk ya kwangu ila dada zetu mungu anawaona
2026-08-16 09:02:14
5
flying.eagle3
Flying Eagle :
story za ai
2026-09-01 12:47:43
1
mir_ham_
Mir-ham :
mtihan wallah
2026-08-16 08:16:21
2
sabra.ridhwan
Sabra Ridhwan :
ya Hamida vipi naona hujaimaliza
2026-08-17 02:47:04
1
shufaa211
ummul Husni 🌻 :
ndo mana siamini mahusiano ya barabaran 😆
2026-08-16 11:26:43
2
nurfat.basil
Nurfat Basil :
daah baaz y wanawak tunkosea san yn mtihan
2026-08-16 18:46:39
1
cute.ennah2
cute ennah :
😂Nipe namba yke nimuombe msamaha 😂🥺
2026-08-16 19:35:03
1
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About