@finance_talk6: UTARATIBU WA HISA CHALLENGE GROUP ​Ili kuhakikisha kila mwanachama anafikia malengo yake ya uwekezaji kwa nidhamu, group hili linaendeshwa kwa misingi ifuatayo ​Kiwango cha Chini cha Uwekezaji Ununuzi wa angalau hisa 35 kila mwezi. Hii inaleta jumla ya hisa 400+ kwa mwaka kwa mwanachama wa kiwango cha chini kabisa. ​Ada ya Group Tsh 25,000 (Uanachama wa kudumu usio na kikomo cha muda, hadi utakapohitimu uwekezaji wako). ​Uthibitisho na Uhakiki (Kila Tarehe 28) Siku maalum ya kukagua walionunua hisa na kuchuja wasiowekeza. Kila mwanachama anapaswa kutuma thibitisho la manunuzi (Order receipt) groupni. ​Jinsi ya Kushiriki Challenge tayari imeshaanza! Ili kuwa sehemu ya safari hii ya mafanikio, wasiliana nasi tuma neno hisa challenge ​📞 WhatsApp: 0656278283

Hussein and Finance
Hussein and Finance
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 07:37:55 GMT
92705
974
103
479

Music

Download

Comments

deekipini
Ms D E E 🦋☑️ :
🤣🤣🤣niongee kwasimama au nitembee
2026-08-16 09:20:13
10
wise0480
Wise 💎 :
Si umekopa 55M total mbona fresh kabisa
2026-08-16 10:30:50
19
user8870110657566
J :
2026-08-16 12:49:52
1
golden_nanah
MAJHEEDY TZ :
watu wa bank wakikupa mkopo mfano 50M hawakwambii kama unarejesha 100M wanakuficha
2026-08-16 11:52:06
6
aarongosbert
aarongozbert :
hyu anazo nyingi😂
2026-08-16 19:47:53
1
habburajab111294
H@88U94🇹🇿 :
2026-08-16 18:50:46
1
magrethboaz0904
Ms.magreth♥️ :
au niache kila kitu nikakae Kwa baba angu
2026-08-16 10:16:44
4
victoria.lema8
Victoria Lema :
Huyu ni mm kabisaaa😂😂
2026-08-16 18:01:20
1
bw.mazungu
Bw.Mazungu :
mnakopa nn
2026-08-16 16:28:52
1
babamwema06
Baba :
uongo, hakuna salary slip ya mikopo ya hivi
2026-08-16 10:47:50
2
richie_pondo
Rich :
🤣🤣🤣🤣 wee mbona hapo unabaki na pesa nyingi tu 🤣🤣
2026-08-16 19:28:38
1
violetsasabo
Dr.violet Sasabo :
Au tum free juma jux ?😂😂😂
2026-08-16 13:21:00
1
bruno.kafuku
bruno kafuku :
mikopo mi 3 anegiweka mwekeza mwingine kwenye stocks,ni baaas kashinda
2026-08-16 15:21:33
1
user4509706818093
dena :
laki 3 nyingi sana take home hiyo. bado unaweza kusurvival kabisa😂😂😂
2026-08-16 16:33:43
1
esthermollel37
Essie💖Leo♌ :
Huyu ni ex wangu kabisa amekopa sijui amefanyia nn alafu ananilalamikia kuwa mm ndio napokea mshahara mkubwa kuliko yeye😂😂😂
2026-08-16 12:53:46
3
ms.malipula6
Ms.Malipula! :
Sasa shida iko wapi hapo mwanetu😂😂
2026-08-16 12:02:45
1
edwardmalundi
EDWARD A.M.M :
CWT
2026-08-16 14:39:56
1
malaika9283
Malaika :
il TRA KAAH
2026-08-16 10:24:08
1
vee.virutubisho01
Vickhealthtips :
hapo Sasa iyo laki 3 imebakia kwasababu ya Ile Sheria ya kubakiza 1/3 kama take home, ingekuwa sio hvyo bado na hiyo ingeishaa🥹🥹😅😅😅 maisha ya utumishi ni magumu sana,tutafuteni TU kipato nje ya mshahara.
2026-08-17 18:02:04
0
maasai.boy8
maasai boy :
dah maisha ya utumish ni shida tu!
2026-08-17 18:04:46
0
asteriajoseph193
Annie 🥰😍 :
PAYE uongo
2026-08-16 18:33:10
1
internationa.com
INTERNATIONAL BUSINESS FAIR :
aah ila wewe umekopa sana jamani
2026-08-16 19:49:52
1
To see more videos from user @finance_talk6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About