unatafuta comment gan mwenetu nashindwa kuelewa 😂😂🤣🤣🤣
2026-08-16 17:28:12
46
𝗖𝗛𝗜𝗡𝗡𝗢~ 𝗠𝗔𝗖𝗖𝗢𝗗𝗘🤍 :
ckupingi kaka🔥😂
2026-08-16 08:04:33
34
KõndĘ ~ KĩD ✨🤍 :
Kwa HESHIMA 10/10🔥✅🌍
2026-08-16 08:54:43
10
Magambo Zenge :
Muda wote kuwa msafi na smart usisubir mpaka usafir ama uende somewhere....LV/Adidas/Puma sijuh we unaweza tunza ufanyie mtoko wenzio wanafanyia mazoezi pale Gymkana halafu unabaki kusema wale ni wakishua...vaa vizur,miliki pisi moja kali,kula vizur all the time
2026-08-17 08:42:39
34
SAM KHAN ⛎ :
respect
2026-08-16 19:12:20
10
J0❤️🔥 :
ukipendeza kila siku wataturoga
2026-08-16 16:51:11
8
Judith cute💞💓💫 :
daaar nakukubali sana broo mung akulind
2026-09-30 04:36:33
5
mpogole :
acha kutugombanisha mimi na nguo zangu
2026-09-26 12:57:00
5
seny boytz :
sikupingi kiongoz
2026-08-16 11:53:33
10
Bashiri 001 :
daaaa umetisha mzazi
2026-08-16 09:43:59
7
Mjagabani 😎 :
Nguo zangu alaf Naambiwa za kanisani 😂😂 na wakat me ndo nachangia kanisa
2026-08-16 13:15:43
10
abrahamitic :
fact kk but inategemeana na kaz gan unafanya mfano mechanic and others
2026-08-16 16:51:10
8
RAMADHANI :
ndio kaka kwa sababu maisha yetu magumu
2026-08-16 14:33:39
6
ObeyKeam💙 :
kila mahal Kun nguo Zak huwez ukawa unajivalia Kila nguo Kun za misere Kun za misib Kun za ofisin Kun za club kwaiy tunatofautisha
2026-09-30 07:52:50
6
chris :
unaendaga wap ofsa
2026-08-16 16:11:43
16
Abou-Hamid Ghezall :
Kwani unaenda wapi🤔??
2026-08-16 16:50:53
9
God zila :
mwanang ww
2026-08-16 11:48:46
1
Jack umeme :
Wambie family
2026-08-16 10:46:41
1
Nako2nakoz16 :
umeniabisha sana dogo dah
2026-08-19 07:33:37
1
Kiba 55 :
sahih kak
2026-08-16 08:37:20
1
To see more videos from user @africanfanstwo, please go to the Tikwm
homepage.