@itsnelly_choppa: Na hawanaga habari🙌🏽🚮💔😂🙌🏽#viral #makemeviral #tiktoktz #tiktokkenya #fyp

nelly choppa
nelly choppa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 07:50:26 GMT
284697
13737
889
2331

Music

Download

Comments

vinnyreels2
vinnyreels2 :
Mwanamk wangu ananipigia saa nane anasema amekosa usingizi Niamke tuongee aya namwambia nakusikilz Nambie anasema sina hata lakusema 😁😁😂😂😂
2026-08-17 10:32:06
947
mrsancterich
Nelson prosper :
kwaiy wanetu nyie wote mnapendwa sio😂💔saw wakuu
2026-08-17 11:37:11
410
imvon26
I'm VON🔥 :
kuna iki kiumbe changu mimi yaan yy huwa linakimbilia kulia tu yaan kitu co kitu atalia km kuna msiba bc linanivurugaga ach tu😂😂
2026-08-16 21:30:19
199
mansem05
sem-05 :
Na ukikaa vibaya Anakuharibia maisha kabisa🤣😂
2026-08-16 17:52:43
293
manaya7173
Hilda :
tulioko single tuko wapi
2026-08-17 12:30:11
159
annie_qte
Annie_qte☺️🌹 :
mie Jana nimemtumia sms nikamwambia sipo home Kuna mahali nipo na cm itazima oyaa zile call na text kama nimetoroka n figo yake😂😂
2026-08-17 11:18:38
227
godfrey.leris
Godfrey Leris :
Napigiwa simu saa nane usiku naulizwa nachati na nan
2026-08-17 12:20:44
137
biggie__poppa
Biggie :
wangu anaeza kukupigia simu saa 9 usiku af anakuulizia shuka liko wapii wakati kila mtu kalala kwakee 😂😂
2026-08-16 10:19:02
94
mr_expert14._
Mr Expert🧠 :
ila wabongo bhna Ukiandika Neno cholocate mtu anaweza akasoma chocolate
2026-08-16 18:00:24
76
west.sk8
RABBIT 🐇👑 :
aloooh me kaniharibia wiki🤣
2026-08-16 16:52:13
53
jasminemuhammed43
Minnie🥰 :
mama anguu naniulizaa kwani hiyo nyimboo unayosikiliaaa mudaa wotee umeipendeaa nn kumbee nasomaa comment
2026-08-18 08:15:25
61
neyeddy
Ney❤️ :
nilichogundua kwenye comments mapenzi ya kweli yapo,mi nikalime tu
2026-08-17 20:28:41
45
user9443027305980
manyawa Official @.. :
yaan me ananipigia cm usiku alafu ananiambia niiache ikiwa on hili nisikie anavyokoloma
2026-08-17 14:04:22
36
user53953733561174
🦋merry 💫✨️ :
kuna ss tunao teswa na mapenz kam rebeca wa jua kali😂😅😅
2026-08-19 20:10:30
15
polhelto
polhelto :
mwenye I love you mbili anipe moja jaman angalau inifikishe disemba
2026-08-16 19:18:45
28
user744711529027419
nei :
ndio inasababisha tunaachwe kwa wivu wetu
2026-08-17 10:00:54
8
user99067826176170
neema official :
yani watu ni waongo jmn
2026-08-18 04:03:03
5
culathe_
Imma🌹 :
Nlichogundua humu wote mnapendwa hongeren sanaa😁😁
2026-08-17 13:23:26
8
paulina.j67
itz~~~pa❤️🥹 :
mm niliwahi kumpigia sm sa 9 usk nikamkumbusha kuna sku aliniambia kitu kumbe sio cha kweli😂😂
2026-08-17 12:40:28
28
rahzee_44
💗 purple bae💜 :
nshambloku sehem zote na nnasubr anitufete atajua mwenyew atanipataje lkn mm nd nasubr anitafute😂😂
2026-08-17 20:19:34
19
missyoriyorilove
Miss Yori ❤️ :
Jana kanikatia cm staki kujua ni bahati mbaya au kapenda siongei naye hadi Leo hiii na sms simjibu 😂😂
2026-08-17 09:10:57
66
udsmuce_alumna
🤨skeptic :
kila mtu anapendwa na mwanamke wake comment section 😂
2026-08-16 18:41:26
33
hossyunique1
Hossy unique :
Ila watu mnapendwa bhn hongeren ila vina mda tuuu si mnaon la kispika saiv katununia na sisi😂😂😂
2026-08-19 15:21:58
6
mtikasi1
Nasbu. D :
Mie wangu anataka tuongee kila mara mpaka maneno ya kuongea yanaisha namwambia nambie anasema hana la kusema na hataki ukate sim
2026-08-18 10:46:20
29
brk2024
BRK2024 :
kuna mwingine kaniacha week iliyopita ucku napokea cmu ya mdada inasema otea mm ni nanii jmn🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 08:15:59
21
To see more videos from user @itsnelly_choppa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About