@juice_asilia: BEETROOT + KAROTI + CHUNGWA + LIMAO ❤️🍊🥕 Unatafuta juice yenye rangi nzuri, fresh na iliyojaa virutubisho? Hii combination ni moja ya kujaribu! 😍 🥕 Karoti ❤️ Beetroot 🍊 Chungwa 🍋 Limao Changanya viungo hivi kwa kiasi unachopenda, blend/juice na kunywa ikiwa fresh. Afya nzuri inaanza na choices ndogo tunazofanya kila siku. 🌱 #beetrootjuice #carrotjuice #lemonjuice #gingerjuice #shadowbanned