@felistafertilityhub: *❇️ UNAFAHAMU NINI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI🧑🏽‍⚕️💊* *Kisukari (Diabetic)ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya* *Glukosi katika Damu. Sababu yake ni uhaba wa Hormone ya Insuline Mwilini Au upungufu wa uwezo wa Mwili wa kukabiliana na Insuline.* *❇️ VIASHIRIA VYA UGONJWA WA KISUKARI* *-Unene uliozidi na kiribatumbo* *-Ulaji Mbaya wa chakula* *-Baadhi ya Madawa* *-Msongo wa Mawazo* *-Kutofanya Mazoezi* *-Magonjwa yanayoharibu Kongosho* *✳️-Utumiaji wa pombe uliozidi na utumiaj wa sigara* *-Historia ya Ugonjwa wa kisukari kwenye familia* *✳️-Umri zaidi ya miaka arobaini kadiri tunavyozeeka na kongosho letu linapunguza uwezo wa kuzalisha Insuline.* *❇️ DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI* *-Kiu ya mara kwa mara* *-Kupungua uzito licha ya kula vizuri* *-Njaa Kali haswa mara kwa mara* *-Kizungu zungu* *-Macho kupungua uwezo wa kuona* *-Kukojoa kupita kiasi cha kawaida* *-Kidonda kisichopona WASILIANA NAMI 0758004845/0621608081#felistafertilityHub #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #usa_tiktok #creatorsearchinsights

Felista fertility Hub
Felista fertility Hub
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 08:35:19 GMT
118
4
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @felistafertilityhub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About