najua umeshika simu yako kwa mkono wa kushoto like apo we ni mwanangu🤣
2026-08-17 08:39:34
378
Salehe Selemani :
Mbona sijaelewa wamemvunja nn
2026-08-16 13:21:53
86
Evakajala🦅 :
Tunasubili movie km tunasubili mshahara em toeni chap chap bhna
2026-08-16 10:59:30
65
Cynthia mts :
Kaka usiseme hivo mi ntalia😂😂😂
2026-08-16 10:40:44
102
M2POA29 BACK UP :
wanamtap tap screen eee
2026-08-16 10:53:16
23
pc :
NI KWELI ZINAFUNDISHA LAKINI SIO KWA WATOTO KWA SABABU WATOTO HAWAWEZI KUCHAMBUA MAMBO KWA USAHIHI UNAWEZA UKAMUEKEA KUMUEPUSHA YEYE AKAVUTIWA KWAHIYO MUWE MAKINI NA WATOTO WENU KATIKA MOVIE KAMA HIZI
2026-08-16 16:25:46
61
Raynaa🥰 :
nilijua daddy...BABA....kumbe🤣🤣🤣
2026-08-16 14:40:22
48
Coolest Phone store.🧸 :
Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net, mbu wataniua jamani 🥺
2026-08-18 04:24:49
17
Afro jr :
hiiii movie usitoee kak daaah watot watot
2026-08-16 17:23:16
8
It’s Obby :
Nyerere njoo uone uhuru ulioupigania
2026-08-17 16:14:48
14
cute🫰 :
🤣🤣baaaasi Kuna Nini tena
2026-08-16 17:41:48
10
Temba Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
asa mnafunza nini jamii
2026-08-17 10:02:47
6
Dyness Ngowi🇹🇿 :
na wavunjaji ndio hao hao wanasema sio shida zao
2026-08-17 05:07:27
5
Hamy_🇹🇿 :
shule ya msingi Pugu ama Pugu kajiungeni location
2026-08-17 09:49:48
5
Yamnaah :
kaka usisem ivy me ntaliaah🤣
2026-08-16 18:21:23
9
𝕺𝖒𝖒𝖎𝖊 ❤🔐..... :
Mbona kama Tanzania haina amani😂😂😂
2026-08-18 07:24:07
7
Kamarly :
HAMIS AME CLOOOOOCKIIIIT😂👌🏽ninaaaaaaaa
2026-08-16 15:16:10
6
user5297777563578 :
sasa hizi movie zina maana gani au mafunzo gani
2026-08-17 16:26:11
20
Predator 17 :
TAMAA sana Vijana Tutafute Pesa na Tufanye kazii
2026-08-17 07:39:10
6
miss cerry :
mbn sinza
2026-08-16 09:10:55
23
Andison Window & Glass Tz :
Sinza Tena sio kinondoni jmn 😂😂
2026-08-16 18:04:47
5
To see more videos from user @clam_vevo_, please go to the Tikwm
homepage.