hii nchi Toka raisi kajichagua mwenyewe bado aijakaa sawa
2026-08-16 20:20:43
138
BROOKLINST_39 :
Hivi nitawezaje kuwashawishi watoto wangu kwamba hii sio nyimbo ya rose muhando hapo maana ahaaaa imeendana na yy kabisaaa😅😅😅😅
2026-08-16 11:57:13
249
miseh_tinega :
How will I convince my kids that this is not the original video
2026-08-17 09:45:32
4
Eldofash :
gen z will think its the true version
2026-08-17 05:07:51
5
Kelv :
After Covid nothing went back to normal😁😅😅😂
2026-08-17 11:52:26
3
@minor-TZ :
2020😃
2021😄
2022😊
2023🙂
2024😐
2025😞
2026😢
2026-08-17 18:34:58
2
VERY16 :
Tanzania ndo nchi peke unaweza ukaandika vocodam na watu wakasoma vodacom😂
2026-08-17 08:59:48
82
Mjeshi Masatu :
Jina la Song please
2026-08-16 16:48:26
18
Philémon 🤓 :
Best is
2026-08-17 04:38:52
1
Menady :
Wewe unaesoma comment hii: Mungu akafungue milango yote iliyokuwa imefungwa mbele yako. Yale majibu uliyoyasubiri kwa muda mrefu yakakufikie siku ya leo, na kilio chako kikageuke kuwa kicheko cha furaha na ushindi.
2026-08-16 16:19:46
126
Maria 🤍🎀 :
Est-ce que mutu muzima aneza fanya bya ??? ….😂😂😂
2026-08-17 07:34:49
10
Çhôí yëöñg hëē :
Kwanza Hzi nguo za jeshi walipata wap?
2026-08-16 17:32:43
90
gramy 45 :
katika zote hii kali sana like ziwe kwake😆😆
2026-08-16 11:32:07
126
THE CHURCH BOY 235 :
Watoto wang bado hawato niamin kuwa hiy siy video original ya rose muhando kak hongera
2026-08-16 09:02:21
62
nassra masika :
kwan Rose muhando aliwakoseaga nini jmn 😅😅😅😅
2026-08-17 13:43:09
9
Lucas zengo 100 :
huu wimbo ni wanani ety jaman
2026-08-17 09:04:18
11
FALLY .J. JOSEPH :
Raymond najua kosa langu ni kulike video zako na kukufollow siku ya kwanza 😂😂
2026-08-16 09:25:20
6
🄽🄰🅂🄳🄴🄴®℗ :
ipeleke Facebook hii Video wakaisafishe inatoka safiiiiii HD
2026-08-17 08:48:33
10
Gee :
Nimeona tutakuwa na kazi sana kuwaaminisha watoto wetu kuwa huu wimbo na video haviendani kabisaaaa
2026-08-16 19:15:11
10
𝐐𝐮𝐝𝐫𝐚𝐭ツ🧸🤟🏾 :
kumbe like zimebadilika rangi😂😂😂
2026-08-16 18:06:31
27
𝓗𝓑 𝓒𝓗𝓘𝓓𝓨 𝓣𝓗𝓔 𝓓𝓙♣️ :
kwani hili taifa lipo bara gani
2026-08-16 18:16:35
9
Eslove❤️🥰 :
Moja kwa Moja mjini WhatsApp status 😂😂😂😂
2026-08-16 16:55:07
31
To see more videos from user @raisiwachimala, please go to the Tikwm
homepage.