@islamic_rihla: Usikimbilie kuvunja ndoa. Tafuteni suluhu kwa hekima, mshirikishe mtu wa upande wa mume na wa upande wa mke, ili kusaidia kurekebisha yaliyoharibika na kurudisha amani Suluhu inaweza kuanza pale ambapo pande zote zinasikilizwa. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US