@kayogera7: 🚹 TEZI DUME: USIPUUZE DALILI HIZI! Tezi dume ni tezi ndogo inayopatikana kwa wanaume chini ya kibofu cha mkojo. Inapovimba au kuongezeka ukubwa, inaweza kuathiri mkojo na ubora wa maisha. DALILI ZAKE Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku Mkojo kutoka kwa shida au kwa nguvu ndogo Kuhisi kibofu hakijaisha mkojo Maumivu wakati wa kukojoa au kumwaga shahawa Maumivu ya kiuno au chini ya tumbo kwa baadhi ya wanaume MADHARA YA KUPUUZA Maambukizi ya njia ya mkojo Kuzuiliwa kabisa kukojoa Mawe kwenye kibofu Uharibifu wa figo katika hali kali Usikae kimya ukiteseka. Dalili za tezi dume zinahitaji uchunguzi wa kitaalamu ili kupata matibabu sahihi mapema. 📞 C Kwa ushauri na maelekezo zaidi, wasiliana nami sasa: 0792078806 Utajiri wa kwanza ni Afya Yako Mwenyewe. #TeziDume #AfyaYaMwanaume #KingaNiBora #UshauriWaAfya #AfyaKwanza